Starehe za matajiri ni zipi?

Starehe za matajiri ni zipi?

Mimi niliwahi piga demu makaburini.
Ameolewa ila hasahau hilo.
Anatamani game iludiwe Yale mazingira ila nyadhfa yake inakataa, kwa sababu ya heshima ya mtu aliye muoa
unaamanisha makabur > yatch ?
 
Wengine wanakunywa very expensive alcohol, yaani yeye kunywa pombe chupa 1m ndio starehe yake.

Wengine flights za huku na kule ndio starehe zao, mara visiwa gani sijui.

Sasa najiuliza, unaenda Maldives huna mwanamke pembeni, havina raha walaaa.

On a serious note: matajiri wengi wanafurahia kuongeza ukwasi wao, ndio maana wengi ni workaholic.
Wanafurahia kuongeza ukwasi au wanaogopa kupoteza ukwasi?
 
Ikiwa ngono ni tendo la masikini na ndio starehe yao kubwa inavyosemekana!
Hawa matajili starehe kubwa ni zipi?

Tuambiane ili watakao kuwa wanatoka kwenye Lindi la umasikini na vipato vya kati juu, wafahamu uelekeo wao?
Ndiyo nilikuwa namsikiliza Shillastar alitolea ufafanuzi kwamba watu waliopigika wanawachukulia matajiri kama hawana wanachojua -hawawezi kupeleka moto,hawajui kuvaa na vitu vinavyofanana na hivyo.

Sasa elewa kwamba hao jamaa wenye mikwanja wanafanya starehe za hatari na wanakula maisha hadi basi ,ebu chukulia P Diddy alivyokuwa anakula starehe ,si ulimsikiliza babu Tale alivyokuwa anaelezea walivyomkuta Diddy floor ya juu yupo na warembo wanamfanyia masaji? Yaani ni mitungi ,blant na mikasi ,wanakaa beach front ,wanamiliki private jets ,wanamiliki Yatch yaani hao ni simu moja tu anaenda kula bata visiwa vya hawaii ,ibiza ,grunet etc
 
Pombe na wanaume.wenzao sasa hivi.sio.wanawake tena imekuwa men to men no fear wanafirana tu kwa kwenda mbele
DA mau hata wewe ukitaka kufirana unaweza mkundu unao, ila men ndio wana 1 option only, wee unakwama wapii??
 
Kujitenga na Masikini..

Jana kuna mtu kaandika uzi "Utawezaje kumuepuka jirani anaefungulia sabufa kawa sauti kubwa??

So anapoishi,anaposomesha watoto,anapo daini,anavyovaa(branded),gari yake,babe wake,na kila anachofanya kujitofautisha nawewe,hiyo ndio fahari yake..

Kuna mtu this week JF aliuliza kupata membership Yatch Club lol watu humu cinema sana
 
Back
Top Bottom