BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Mambo vipi wakuu
Kuna kaswali kakizushi, naomba tubadilishane uzoefu, kwani inafahamika kila mtu kuna kitu flani anakipenda.
Kuna watu wanapenda sana MSOSI. Mnyime kitu chochote lakini sio msosi mzuri.
Kuna watu wanapenda sana TUNGI. Hawa watu wasipo pata kinywaji wanaweza hata kuugua.
Wengine bhana ni NGONO. Umeshawahi kuona mtu anaacha dili ya hela kisa anafuata Papuchi? Mimi nimewaona. Kuna wanawake pia wanatajwa kuwa na pepo la ngono.
KUINGIZA HELA. Hii nayo ni addiction. Hapa kuna watu watakuambia kila mtu anapenda hela, ni kweli lakini si kwa kiwango sawa. Kama mtu anatunza hela tu, hali kiuhakika, havai vizuri...n.k. Kuna mtu nimewahi kumuuliza wewe starehe yako ni ipi, mbona sioni hata siku moja ukipiga kilevi, au Disko au madem, jibu alilonipa ni kwamba akiona hela kwenye akaunti nafsi yake inakuwa na burudaaani.
Kuna wanaopenda disko/mziki balaa.
Kuna wanaopenda soka balaa
Kuna wanaompenda Magufuli balaa.
Wewe unapenda nini ?