Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Sasa hv situmiiUtakuwa kiziwi mda sio mrefu
Sasa hv situmiiUtakuwa kiziwi mda sio mrefu
Hao madaktari wanapendekeza tutoeje uchafu masikioni?Madaktar wanakataza shaur yako
dah!Kwanza umri wako ni wa utu uzima?
Wanaangalia mada zako kama za kitoto hupati access
Loooh!!!!kugegedwa na nimpendae
kuenjoy na kupiga story na marafiki
play station
ukinitumia sms wakati nacheza game kisha nikaacha kucheza game ili nichat na wewe ujue nakupenda sana au hujanipa

Kama ulikuwepo mkuu kwani hiyo starehe hata simba akikukuta porini unagege mtu anakuacha umalize kwanza.Hivi wanajumuiya ni starehe gani ambayo ukiipata unajihisi kama uko ulimwengu mwingine?.Kwangu mimi naona kama starehe kuu kuliko zote ni kugegeda.Raha ya kugegeda naona kama haina mpinzania na hii tu ndio inanifanya niufurahie sana uwepo wangu humu duniani
pole sana mkuuDuu nimecheka kama chizi apa
Yaani international observer napenda mziki, yaani takutafuta my Boss ha ha haAaagh, internal observer!... Kweli? Hebu fanya tukutane tupombeke kisha uende zako kucheza huko.