mwagavumbi 11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,254
- 44
MADA - JE MUUNGANO UNA NAFASI GANI KWENYE KATIBA!
WAGENI -Mh. Ole Sendeka na Mh. Mbaruku
Wanajamvi fuatilia kinachoendelea star tv upate welewa wa muungano mzee Mbaruku na Ole Sendeka wasigana kwa hoja.
=====
WAGENI -Mh. Ole Sendeka na Mh. Mbaruku
Wanajamvi fuatilia kinachoendelea star tv upate welewa wa muungano mzee Mbaruku na Ole Sendeka wasigana kwa hoja.
=====
Sendeka
-Zanzibar siyo inchi
-Wanaodai serikali tatu makuwadi
-Waliotoa maoni yakutaka serikali tatu siyo watanzania
-Takwimu za walioba 5% ndiyo wanaotaka serikali tatu
Mh. Sendeka akiongea kwa jaziba, dharau na matusi... amewaita mwenyekiti wa Tume na mitume kadha kama ni KUADI n.k
Wapo na Mh Mbaruku, amekasirika sana live kwa Sendeka kutukana live matusi.
Ameshindwa hadi kuongea, msimamizi wa mjadala kashindwa kabisa kuongoza
Sendeka kuna umuhimu wa kusoma historia.