Tafadhalini nisaidieni,sijuh ni mimi tu au na wengine mnapata shida ya kupata STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN kwenye satellite dish siku hizi? Nimejaribu kuset upya dish,na mara zote nimeambulia kupata TBC kwa muda mfupi tu kisha inatoweka. KWA STAR TV HAIPATIKANI Kabisaa. Je kuna madiliko ya freq ama? Kwa anayefahamu ebu anisaidie tafadhali.
watu wengi wenye madish ya futi 6 wanasumbuliwa sana na STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN lakini tatizo hili linaletwa na ile faiba ,au tunaita sabuni inayowekwa ndani ya LNB ili kupata Horizontal na vertical ile sabuni unapo kuwa umeisukuma ndani zaidi ndio inapoteza STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN kwahiyo nawashauri ile faiba uitoe uiweke pale mwanzo yani isizame ndani wala isitokeze nje iwe saizi na round ya LNB na utakapoiweka ktk zaizi hiyo utaona inapwaya hai tight unachuku kama maskin tape au solution tape unaiongezea ujazo kwa pembeni ili iweze kuwa tight utakapo fanya hivyo tatizo litakuwa limekwisha jaribu na ulete majibuTafadhalini nisaidieni,sijuh ni mimi tu au na wengine mnapata shida ya kupata STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN kwenye satellite dish siku hizi? Nimejaribu kuset upya dish,na mara zote nimeambulia kupata TBC kwa muda mfupi tu kisha inatoweka. KWA STAR TV HAIPATIKANI Kabisaa. Je kuna madiliko ya freq ama? Kwa anayefahamu ebu anisaidie tafadhali.
watu wengi wenye madish ya futi 6 wanasumbuliwa sana na STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN lakini tatizo hili linaletwa na ile faiba ,au tunaita sabuni inayowekwa ndani ya LNB ili kupata Horizontal na vertical ile sabuni unapo kuwa umeisukuma ndani zaidi ndio inapoteza STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN kwahiyo nawashauri ile faiba uitoe uiweke pale mwanzo yani isizame ndani wala isitokeze nje iwe saizi na round ya LNB na utakapoiweka ktk zaizi hiyo utaona inapwaya hai tight unachuku kama maskin tape au solution tape unaiongezea ujazo kwa pembeni ili iweze kuwa tight utakapo fanya hivyo tatizo litakuwa limekwisha jaribu na ulete majibu
Nimefanya hvy nimeambulia Tbc pekee, Star tv na Ch10 zinapatikana usiku tu,tena kwa tabu,zinaingia na kutoka kila baada ya dk kadhaa. Tatizo nini? Je ni eneo? Na kama ni eneo mbona siku za nyuma zilikuwa zinapatikana bila tabu?
Juzi nime search upya ktk c band yangu local channels haipati kabisa Star tv na Ch.10 nazopata ni Tbc1 nayo dk 3 inaonesha then dk 1 inasinzia, zenye signal ya 39 hadi 40 ni eatv, itv, capital tv, tvm1, tvm2 na Tim. Tatizo bado..
View attachment 57607
madishi feki ndivyo yalivyo baada ya miezi sita au mwaka signal zina anza kupotea kwahiyo kwanza tazama dishi lako kama rangi ya dishi imesha anza kutoka na lina kutu basi chukua msasa lisugue kutu itoke halafu lipije rangi kwandani mana kutu ndio inachangia sana kupoteza signal baada ya hapo tazama LNB yako kwenye bapa kama namba yake ni VH-555 LNB au VH-666 LNB basi badili LNB tumia ya VH- 777 LNB ndio inanguvu na ina signal kubwa kwa wale wenye madishi ya futi sita original hayana tatizo kwa hizi LNB VH-555 au VH-666 LNB lakini kwa yale madishi feki ya futi sita hizi LNB za 555 na 666 ni miezi sita tu dishi likipungua signal na LNB haiwezi kuhimili
lakini nilikua napita tu nitarudi baadae

Mkuu naomba unielekeze hio sabuni (fiber) inapatkana kwny c band sehem gan?
Star Tv na Channel ten wako hewani. Ile TBC1 sijui TBCCM nilishaifuta kwenye receiver yangu, so I don't care what happens to TBC! Jitahidi uzipate Ch 10, Star Tv, ITV zinatosha kwa TZ.
Star Tv na Channel ten wako hewani. Ile TBC1 sijui TBCCM nilishaifuta kwenye receiver yangu, so I don't care what happens to TBC! Jitahidi uzipate Ch 10, Star Tv, ITV zinatosha kwa TZ.
Mbona hatuendelei tena,