ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,007
Vipindi vya BBC viko palepale. Kila siku saa tatu usiku sikosi kumuona Zuhura YunusNdugu zangu,
Napata taabu sana kuhusu kufungiwa kwa Star tv katika matangazo yake ya televion. Kuna baadhi ya vipindi huwa napenda kuvifuatilia, mf: BBC Swahili n.k..lakini kulingana na kukatishwa kwa matangazo hayo imekua tatizo upande wangu. Binafsi ningejua channel gani/BBC Swahili inapatikana?
Kama ipo mnijuze,
Tafadhali..