Star TV mnakera

Star TV mnakera

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,881
Reaction score
2,091
Mlianzisha tamthilia ya kifilipino "I will never say goodbye" na SASA MMEIKATISHA bila taarifa kwa watazamaji. Huu ni utovu wa nidhamu kwenye tasnia na wala sio weledi.

Sio mara yenu ya kwanza kufanya madudu ya aina hii. Tamthilia nyingi mlizikatisha kwa mtindo huu. Ni aibu sana kwenu.

Natamani ITV ndio waonyeshe hizo tamthilia za kifilipino ninyi mbaki na za kwenu Mwanza.
Shame on you Star TV
 
Mwanaume wa mbeya kama sio mwanza huyu
 
Star Tv ndio mtandao gani huo? au ndio wale waliofungiwa kwa kudaiwa kodi? duh bado wapo kumbe? Dah Kuna watu bado wanasubiria series wiki kwa wiki? si udownload tu kwa vifurushi vya usiku vya TTCL unaacha asubuhi unakuta ushamaliza season yote
 
Haha asee mwanaume unalia kisa tamthilia? Mkuu ka download basi torrents uangalie kwa kujificha sio kubanana sebleni na dada zako kugombea remote kisa tamthilia
 
Back
Top Bottom