Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 275
Hao sahara media ktk moja ya kipindi chao cha kolabo miksa walipata kusema morogoro hakuna uwanja wa ndege.hawafanyi utafiti
waandishi wa star tv chadema imewakolea mpaka akili zinawatoka,kazi yao kualika BAVICHA waje waitukane serikali na nchi oamoja na watanzania,wakiwa hapo studio wanajifanya wachambuzi,lakini sasa wanaumbuka,tutashuhudia hao wanaojiita wachambuzi wakichukua fomu za kugombea kupitia Chadema