Asubuhi hii kuna kipindi cha Star Tv kinachozungumzia mada kuhusu dhana halisi ya demokrasia. Nimeshangaa mwongoza kipindi kudai kwamba Barack Obama ni muislam na kusema kwamba pamoja na kwamba yeye ni muislam, wamarekani ambao wengi ni wakristo walimchagua. Mchambuzi aliyepo studio naye akakubaliana kwamba Barack Obama ni muislam !
Barack Obama ni mkristo na kwa muda mrefu amekuwa akisali kwenye kanisa linalojulikana kama United Church of Christ na ndipo alipobatizwa na baadaye alijiunga na kanisa la kibaptisti......Kwa kifupi ni Mkristo na si muislam....
Hivyo hicho mlichowaeleza watazamaji wenu sio sahihi. Mmewapotosha !