Star TV mbona hamumwaliki Kingunge?

Star TV mbona hamumwaliki Kingunge?

Mssassou

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
1,537
Reaction score
597
Kila mmoja anakumbuka kuwa Dr.Slaa na wengine waliohama CHADEMA mlikuwa mnawaalika kwenye vipindi vyenu kila wiki wakieleza kile kilichosababisha wao kuhama au kuacha siasa.

Mbona mzee Kingunge haiwi kama wengine ukizingatia huyu mzee ni nguli ktk siasa na chama chake mwenye kadi namba 8?
 
Angekua ametokea upinzani kuja CCM tungemualika.
 
siasa za ubaguzi na matumizi mabaya ya vyombo vya habari likitokea la kutokea isiwe tabu na wamiliki pia waende kula Hague.
 
Kila mmoja anakumbuka kuwa Dr.Slaa na wengine waliohama CHADEMA mlikuwa mnawaalika kwenye vipindi vyenu kila wiki wakieleza kile kilichosababisha wao kuhama au kuacha siasa.Mbona mzee Kingunge haiwi kama wengine ukizingatia huyu mzee ni nguli ktk siasa na chama chake mwenye kadi namba 8?

ametwa azam two TV kspigwa maswali na Tido amekalia kubwabwaja tuuu hajibu anakalia kulaumu tuuu Ndio star TV wamwite Wa nini zee lile ambalo halijielewi
 
Kila mmoja anakumbuka kuwa Dr.Slaa na wengine waliohama CHADEMA mlikuwa mnawaalika kwenye vipindi vyenu kila wiki wakieleza kile kilichosababisha wao kuhama au kuacha siasa.Mbona mzee Kingunge haiwi kama wengine ukizingatia huyu mzee ni nguli ktk siasa na chama chake mwenye kadi namba 8?

Mkuu ukweli no kwamba hawawezi kumwalika, mmiliki wa TV anamuunga mkono magufuri ndio maana wanajaribu kutumia fursa yoyote inayojaribu kuonesha udhaifu wa mgombea wa UKAWA. Tanzania ni nchi pekee katika ukanda wa Afrika Mashariki ambayo licha ya kufahamu ukweli Kuwa vyama vya upinzani bado vichanga nguvu nyingi imekuwa ikitumika kuvikandamiza kwa kupotosha mantiki ya uwepo wake. Mi nashangaa kivipi hivi vyama vinakuwa tishio kwa chama kilichopo madarakani miaka zaidi ya 50 mpaka baadhi ya watu kufikia kuandaa mipango ya hila dhidi yao, je wanaoandaa mipango hiyo hawatambui mchango wa vyama vya upinzani duniani kote? Na kulikuwa na haja gani ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi kama tulikuwa bado hajutaelewa maana halisi ya msingi wake. Inashangaza kuona baadhi ya viongozi wa dini wanahusisha vyama vya upinzani na vurugu na hii inaonesha kwa nchi kama Tanzania dhana ya upinzani kueleweka bado tunasafari ndefu maana kuna watu kutokana na maslahi binafsi wanaviona ni kikwazo kwa maendeleo yao na wanatumia huu mtizamo hasi kuwa aminisha na wengine.
 
Hivi si mlisema hamuangalii star tv, na mmeshaiponda kwa mengi tu!! Sasa mnataka Kingunge akafanye nini wakati hamtoangalia? Huko alikoitwa si ameshaongea na mkamsikiliza? Au kunalingine hajaongea na ataliongelea star tv pekee???
 
Kama wasaidizi wenyewe walikuwa akina kingunge si ajabu nyerere utawala wake ulipata kashikashi kama zile.

Kuna mtu na akili zake sawasawa anaweza kuamini kuwa huyu kingunge ndio alikuwa mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa wa nyerere?

Huyu mzee alikuwa anamfanyia usanii tu nyerere. Hakupikwa akapikika. Si ajabu siku zote alikuwa hana hata ujasiri wa kukemea madudu yaliyo kuwa yanafanyika miaka na miaka kwenye chama chake.

Eti leo ndo ameyaona na ndio anatoka!

Mbona mengine mengi alikuwa anayachekea chekea tu?

Hili limefanyika kwa manufaa ya nchi ndio anajifanya kususa.
 
Kingunge hana jipyaaaaa MWACHENI AENDELEEE KUJIKUNA KAKIJIDEVU KAKE NA AENDELEEE KURA MAFAO YA UKAWA UZEENI
 
Kila mmoja anakumbuka kuwa Dr.Slaa na wengine waliohama CHADEMA mlikuwa mnawaalika kwenye vipindi vyenu kila wiki wakieleza kile kilichosababisha wao kuhama au kuacha siasa.Mbona mzee Kingunge haiwi kama wengine ukizingatia huyu mzee ni nguli ktk siasa na chama chake mwenye kadi namba 8?

Hawana kipindi cha mataahira kama Kingunge wewe unafikiri yule mzee mzima yule?
 
Back
Top Bottom