Star TV KUANZA MWEZI WA TISA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star TV KUANZA MWEZI WA TISA

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Umutimbaru, Jun 9, 2012.

 1. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Star TV wametangaza kuanza mwezi wa tisa kurusha matangazo yao kwanjia ya Digitali. Si tujiandae kwa lipi, najiandae kuachana na lipi.
   
 2. idete

  idete Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Good idea
   
 3. M

  Mlyafinono Senior Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana,
   
 4. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Sijui watakuja na kingamuzi cha how much? Sijui kitakuwa na chanel zip?

  Na itv nao wakija kivyao?
  Jamani? trs tuone eni huruma mtatiua wajamen?
   
 5. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwahiyo nyumba ijae ving`amuzi tu,cjui hata tunakwenda wapi.

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 6. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Makorokoro kibao!
   
 7. gkiwango

  gkiwango Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Sio lazima kingamuzi kwani kama utakuwa una tv ya digital yenye uwezo wa kupokea DVB - T2 utaweza kupata free channel zote zitakokuwa zinarushwa kwa mfumo huo.
   
 8. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Si ndio tunashida itabidi tuandae Strong room kwa ajili ya vingamuzi.
   
 9. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kweli tutakuwa na Makorokoro kama fundi redio.
   
 10. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  nina wasiwasi sana ktk hili
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hizo TV zenye king'amuzi ndo zipi jamani???
  Kuuliza si ujinga wakuu
   
 12. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama ulivyo tanguliza "Kuuliza si ujinga" ni kweli hapa nadhani kila mmoja anayo nafasi ya kuuliza na kueleza jambo kadiri ya upeo wake,na tunapochanganya mawazi ndio kitu kamili kinaweza akupatikana.

  Zipo aina mbili ya TV nazo ni "I mean hizi za kisasa"
  A plasma display panel (PDP) is a type of flat panel display common to large TV displays 30 inches (76 cm) or larger. They are called "plasma" displays because the technology utilizes small cells containing electrically charged ionized gases, or what are in essence chambers more commonly known as fluorescent lamps.

  na
  Liquid-crystal display televisions (LCD TV) are television sets that use LCD display technology to produce images. LCD televisions are thinner and lighter than cathode ray tube (CRTs) of similar display size, and are available in much larger sizes. When manufacturing costs fell, this combination of features made LCDs practical for television receivers.

  Sasa nikirudi katika hoja yako,ni kuzingatia tu wakati wa kufanya manunuzi ili uchague ile yenye Analog/Digital...na remote inakuwa na hizi button mbili.
  Uzuri wake nikuwa ukiwa sehemu ambayo zipo channel katika mfumo huu wa Digital basi unazipata kwa kutumia Antena
  ya kawaida...mfano mimi hapa nilipo napata local channels na pia BBC WORLD na Deutsch Welle ambazo ziko katika mfumo huu kwa kutumia Antena.

  Labda kwa kuongeza pia inawezekana kupata Channel zilizo katika mfumo huu kama Satelite Receiver yako itakuwa na Terrestrial.


  Terrestrial television is a mode of television broadcasting which does not involve satellite transmission or cables — typically using radio waves through transmitting and receiving antennas or television antenna aerials. The term is more common in Europe, while in the United States it is referred to as broadcast television or sometimes over-the-air television (OTA) and requires a Tuner (television) to view content.

  Utakachofanya hapa ni kupitisha Antena cable yako nyuma ya Satelite receiver kuna njia mbili in/out kwa ajili ya Antena na unaponunu Satelite receiver ndani kunakuwa na cable mara nyingi {inakuwa nyeusi} ndio utatumia sehenu ya OUT kuingiza nyuma ya TV ile sehemu ya Antena,kwa maana hiyo hata kama TV yako haina Digital utapata kutokea katika Satelite Receiver.
   
 13. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapo Mkuu umesomeka fresh, Na umeeleweka vizure. Akhsante kwa msaada wako
   
Loading...