Habari wana Jf, mi ni moja wa watazamaji wa Star Tv hasa tamthilia zao, hawa jamaa ni wa ajabu sana, tamthilia ikifikia kwisha huwa wanaikatiza katiza yaani kwa wiki wanaweza kuonyesha mara moja tu hizo siku nyingine watakuambia samahani kuna tatizo, wakati sio kweli huwa wanavuta muda wakitafuta tamthilia nyingine, kwa watazamaji hii huleta shida, Kwa nini wasitafute tamthilia nyingine inadvance? Wanakera sana