Star Tv Inakera!!

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Habari wana Jf, mi ni moja wa watazamaji wa Star Tv hasa tamthilia zao, hawa jamaa ni wa ajabu sana, tamthilia ikifikia kwisha huwa wanaikatiza katiza yaani kwa wiki wanaweza kuonyesha mara moja tu hizo siku nyingine watakuambia samahani kuna tatizo, wakati sio kweli huwa wanavuta muda wakitafuta tamthilia nyingine, kwa watazamaji hii huleta shida, Kwa nini wasitafute tamthilia nyingine inadvance? Wanakera sana
 
Pole sana channel mbona ziko nyingi sana. Mimi hayo mambo nilishaachana nayo siku nyingi ya kuangalia tamthilia inafikia sehemu imenoga inakatishwa unabaki na dukuduku mpaka kesho saa kama ilie aka bau kama na hamu ya tamthilia nanunua DVD/VCD naangalia mwanzo mwisho mchezo unaisha. Pole mwaya
 
sasa utanunua DVD ngapi?
 
Habari wana Jf, mi ni moja wa watazamaji wa Star Tv hasa tamthilia zao, hawa jamaa ni wa ajabu sana, tamthilia ikifikia kwisha huwa wanaikatiza katiza yaani kwa wiki wanaweza kuonyesha mara moja tu hizo siku nyingine watakuambia samahani kuna tatizo, wakati sio kweli huwa wanavuta muda wakitafuta tamthilia nyingine, kwa watazamaji hii huleta shida, Kwa nini wasitafute tamthilia nyingine inadvance? Wanakera sana

Sio wao, hakuna kituo bora na cha kuaminika TZ, hakuna chenye afadhali hivyo usilaumu sana. Tazama wenzetu kama Nairobi tv, Citizen...wako poa sana.
 
sisi tumekojolewa na popo gani mkuu??, I LIKE CITIZEN TV..........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom