Star TV imetoweka katika king'amuzi cha Star Times

Star TV imetoweka katika king'amuzi cha Star Times

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,343
Reaction score
20,797
Ni takribani wiki moja sasa matangazo ya Star TV hayapatikani kabisa katika king'amuzi cha Star Times!

1. Je Star TV imejitoa tena kama ilivyowahi kufanya?
2. Je ni matatizo ya kiufundi?

Tafadhali tujuzwe maana ni haki yetu kupata matangazo kutoka katika TV hii!!!
 
Tatizo la star TV ni mpunga. Jamaa hawajammwagia mpunga.
 
Search tena...me zilitoweka zoote ikabaki Tbc na tv1. jana nimesearch zimerudi.
 
Kama ITV ipo,wala hakuna shida,we ikifika saa 4 asubuh ya leo we tune kwa hyo ufuatilie matangazo ya moja kwa moja kutoka mlimani city
 
Ipo mkuu hawajaitoa ila kuna jambo la kushangaza sana, kukiwaga na ishu nyeti ya kisiasa inayogusa kile chama cha malori ITV na star tv huwa zinakata hasa ile mida ya mijadala au taarifa za habari. Cjajua lakini naendelea kufanya utafiti.
 
Azam tv ndio hawajawahi kunusa, wao wanataka kila mtu anunue hiyo continental, wapuuzi
 
hata ikitoweka si imeanza kufanya kazi za kipropanganda
 
Mna moyo mkubwa na mpana mnaotumia king'amuzi cha STAR TIMES,ni sawa na kukesha ukiangalia TBC ili upate masuala NYETI ya Kitaifa. Nawapongezeni kwa moyo WENU wa uvumilivu na nawasihi MZIDI kuamini kuwa STAR TIMES ndiyo mkombozi wa kuona chaneli mnazozitaka.
 
Asante...tunashukuru kwa pongezi.
 
Mna moyo mkubwa na mpana mnaotumia king'amuzi cha STAR TIMES,ni sawa na kukesha ukiangalia TBC ili upate masuala NYETI ya Kitaifa. Nawapongezeni kwa moyo WENU wa uvumilivu na nawasihi MZIDI kuamini kuwa STAR TIMES ndiyo mkombozi wa kuona chaneli mnazozitaka.

Tunaponzwa na ukata!
 
Back
Top Bottom