Star Times!

Star Times!

Sharahange

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
26
Reaction score
3
Habar wana jamvi!
msaada kwa yeyote anayefahamu bei ya kisimbuzi cha Star Times kwa sasa coz nakihitaji!
 
:shocked:Aiseee kila mtu anataka kuuza....kuna nini wandugu...basi na mimi nauza
 
Nauza changu 45000 ni-pm ka uko serious!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kwa kweli hata mimi nina shida sana na hiyo dekoka ya startimes,kwa hiyo kama kuna mtu anacho na anakiuza kwa bei ya kumudu mtanzania wa kawaida basi aniPM haraka iwezekanavyo.ZINGATIA: Kiwe kizima na kiwe kimekamilika pamoja na remont control yake. please nipo serious nahitaji.
 
Back
Top Bottom