Star times, ting na DSTV zinachakachulika

Star times, ting na DSTV zinachakachulika

Whatever it is we have been overcharged for so long now. We paid for the dish, receiver, installation and we are paying USD 78USD per month aaagh, chakachualling is Ok. They are expensive like hell

Hell is cheap
 
nadhan wengi wetu tushaing4za frequency za dstv channels kwenye madish yetu ya kibongo ila channel hizo zinakubal kuingia ila tu zipo scrambled, sasa cha kufanya we
ongeza ungo wa pili nao uangalie sehem ile ile ya ungo wa mwanzo , nunua latest dvb mpeg4 hd receiver zenji pamoja na dongle huko zenji ukishapata ur gud 2 go HA HA HA ETI IRDETO 2 HAICHAKACHULIKI, UTAFKIR AMEITENGEZA MALAIKA
 
kwa akili yangu kiasi nlonayo this is bush business.
we unaonekana unataka kuwapga wa2 mkwanja dus y umeweka e-mail yako ili wakutafute 1 kw 1.
m naxubr bt ckupm wala nn
 
nadhan wengi wetu tushaing4za frequency za dstv channels kwenye madish yetu ya kibongo ila channel hizo zinakubal kuingia ila tu zipo scrambled, sasa cha kufanya we
ongeza ungo wa pili nao uangalie sehem ile ile ya ungo wa mwanzo , nunua latest dvb mpeg4 hd receiver zenji pamoja na dongle huko zenji ukishapata ur gud 2 go HA HA HA ETI IRDETO 2 HAICHAKACHULIKI, UTAFKIR AMEITENGEZA MALAIKA
technically irdeto 2 haijakuwa hacked. kinachofanyika kama nilivyosema ni card sharing au control word sharing. hii sharing inaweza kuwa kupitia internet kama ifanyavyo hawk ( server za hawk zilikuwa down kuna kupindi sijui sasa) na gprs adapter (hizi unaweka lain ya simu na unakula premium package) hizo dongle ulizosema sio stable sana kuna kipindi ziligoma kabisaa.
 
Je! Mtu akibeba contena zima la hizi Vitu AZSKY G2, aweza kuvisambaza pale Kariakoo Round about!? Au atakuwa anafanya biashara Haramu!??????

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni utoto tu ukifikia level ya "JF Senior Expert Member" utaacha.
 
na sisi tunaruhusiwa kuku PM ?

ni hivi, vile vi adaptor vinavyokuwezesha kuangalaia DSTV premier channels bila kulipia hata shilingi moja ninavyo, bei yake ni laki moja na elfu 90 tu. wahi sasa kabla havijaisha. vimebaki 7
 
Plz kama yawezekana nijuze nami via 0764422232 nataka nami
 
mhhhh hili somo nimetoka kapa ngoja nitafute contact za Paje ili anipe tution kidogo
 
Last edited by a moderator:
Aisee MPENDA USAWA si utupe ujanja na sisi tufaidi sote?

KAMA DECODER YAKO NI DVBT2 UNAPATA BILA TABU. Lkn wale wenye Dvb T1 hakuna tena. Hii inatokana na Ting kuhama kutoka mfumo wa dvb t1 na kwenda ktk dvb t2 HD. Chnl zote hz ni package ya Ting na sii za startimes.
 
Back
Top Bottom