Star times, ting na DSTV zinachakachulika

Star times, ting na DSTV zinachakachulika

Blablaa nyiiingi mpaka leo tumeota mvi hakuna chochote!!wengine walikuja hapa na viji codes vyao viingi vya kuchakachulia startimes tu lakini sikuona hata moja yenye best performance,chaneli walizodai zinapatikana bure zilikuwa zinatoa sauti tu, picha hamna,bora tu tuendelee kuumia na hawa wawekezaji wetu wa kichina.
 
StarTime inachakachulika sijui kwa siku hizi sababu nimeshatoka ,nimetoka kwa kuwa ishakuwa Fastjet siku hizo lool
 
Kaka usipenda kubisha kitu usicho kuwa na uhakika nacho tembea uone..

Dstv inakuwa hacked na watu kibao.. Siwezi kusema hapa kiusalama but binafsi natumia abudhabi sports na free dstv for so many years..

Kuna watu kibao dar wanaiba na nakupa siri UKIONA NYUMBA INA DISH MBILI JUU ZINAANGALIANA NA MOJA YA DSTV ujue hao wanaiba hizo dish mbili moja inakuwa ya signals ambayo ni ya normal dstv na nyingine ya Data kuiba signals kwenye dstv na unapoiba dstv hautumii decoder ya dstv tena unaizima na kuitupa kule na smart card yake.. Wanatumia decoder zinazounlock ambazo hazitumii smart card kwenye hizo decoder unachomeka waya mbili nyuma moja kutoka dish la dstv na nyingine kutoka dish la data...

Ningekutajia jina la hicho kidocoder kinacho unlock dstv sema kwa sababu za kiusalama siwezi kukutajia..

KAMA UMESHINDWA NI WEWE TU WENZAKO WANAWEZA AS NOTHING IMPOSIBLE UNDER THE SUN..

Tena hicho kidecoder kina unlock hadi HD channel nazo na kinabadilisha code kila baada ya dakika as multichoice wanabadilisha code jamaa wanabadilika nao sema tatizo umeme ukikatika kinachelewa kuload pale unaporudi unaweza kukisubiri kama saa moja ndo kikae sawa kinakuwa kinasaka new codes maana multichoice wanachange sana codes na vile vile wakati multichoice wanabadilisha codes ina stack kwa sekunde kazaa then inahamia kwenye hiyo code mpya huwezi kutambua kama sio mzoefu..

Blabla nyingi sana vijana! Hadi leo hamna mwenye ushahidi kuwa iredeto 2 imekuwa cracked.
 
Blabla nyingi sana vijana! Hadi leo hamna mwenye ushahidi kuwa iredeto 2 imekuwa cracked.

Nahisi wewe ni mfanyakazi wa multichoice unataka utukamate.. Angekuwa mtu ninayemuamini ningekukaribisha geto uone wabongo walivyokuwa hawafai..

Mi mwenyewe nilishabisha sana nikaja kuiona nikakubali watu noma ikabidi niombe nami nikafungiwe geto na sasa nina 8 months nakula premium free
 
Kweli kuna namna mbalimbali za wizi na ufisadi lol!
 
Nahisi wewe ni mfanyakazi wa multichoice unataka utukamate.. Angekuwa mtu ninayemuamini ningekukaribisha geto uone wabongo walivyokuwa hawafai..

Mi mwenyewe nilishabisha sana nikaja kuiona nikakubali watu noma ikabidi niombe nami nikafungiwe geto na sasa nina 8 months nakula premium free
May be kama watu wanachakachua net na hata mpe-pesa au ATM basi hawashindwi hiyo
 
hehehe ngoja na mie niende twisheni nikasomee kuchakachua ATM machine, nitamwaga mambo hadharani baada ya siku 7 sio 3 kama mdau hapo juu.
 
wanatamani;2007353]kama kawa yangu nilikuwa chimbo zinachakachulika naombeni 3 daysnishushe darasa . Majaribio tayari nimefanikiwa kuweni na subra wanatamani@gmail.com[/QUOTE]

nafikiri kama unaelewa soma hii ndio special chip ya STARTIMES DECODER(ALi M3383) eg star6000t.....

M3383 SD MPEG 2/H.264 DVB decoder
M3383 is highly integrated IC for STB with networking. M3383 has dual high performance 32 bit RISC CPU, support dual USB 2.0 Host interface, High definition MPEG2 and H.264 video decoder, graphics engine, Ethernet , TV encoder and HDMI transmitter.
Feature:

● Support 16/32 bit DDRII 800 SDRAM
● Support serial/parallel flash with different size
● 2 sets of CI/CI+ interfaces supported
● Support 2 sets of Smart card interfaces
● MPEG-2 MP@ML video decoder
● AVC/H.264 HP@L3 video decoder
● JPEG decoding accelerator
● Support 4 Video VDAC, can output YPbPr and CVBS simultaneously
● Build-in DVI and HDMI with HDCP
● MPEG-1 layers I, II and PCM down-mixing
● IEC958 S/PDIF digital output
● Digital mute control and volume adjustment
● Support Dolby 5.1 channel, Dolby down-mix 2 channel and Dolby Prologic2
● Support 2 channel HE-AAC V1
● Build-in 2 channel Audio DAC
● Embedded Dual High performance 32bit CPU
● Debug unit with EJTAG interface
● Support Secure Boot
● Boot ROM embedded
● Embedded OTP memory to support key installed and unique ID
● Embedded Crypto Engine to support secure PVR, external interface protection, and data protection
● Dual USB 2.0 host interface
● SATA 2.0 host interface
● 10/100 Mbps Ethernet MAC with RMII
● 2 sets of RS-232 serial interface
● 3 sets of I2C master/slave controllers
● 1 set of IR receiver/transmitter interface
● 2 sets of UART Interfaces
● Watch Dog controller
● SDIO Interface
● Panel scan
● OTP supported
● PBGA 376 Package
Block Diagram:
[M3383 SD MPEG 2/H.264 DVB decoder]
Applications:

● DVB-S/T/C back-end solution
● SD MPEG2 and H.264 decoder


endelea,

ALi’s Set-Top Box Chipsets M3383 and M3603 Deliver Conax Chipset Pairing Advance Security Technology on Content Protection
(Excerpt from press release)
Taipei, Taiwan, Jan 21, 2011 - ALi Corporation, a leading Set-Top Box (STB) system-on-chip (SoC) solution provider, today announced the M3383 and M3603 conditional access(CA)-enabled STB chipsets, have successfully completed Conax chipset pairing advanced security with level 4 certification. This level 4 certification meets most of the industry security demands. These two STB chipsets, supporting Conax chipset pairing technology, are ideal for manufacturers and operators to eliminate content leakage, control word sharing, set-top box hijacking and other unauthorized behavior.

ALi’s Conax-certified M3383/M3603 are specifically designed to address entry-level digital video broadcasting market requiring standard definition MPEG2/H.264 video decoding. In addition, these chipsets aim to aid business offerings in India, Asia, Latin America and other emerging regions. Rapid economic growth in these regions leads to increasing demand for pay-TV content. This demand provides excellent business opportunities for operators, but, at the same time, it exposes the operators under considerable threats as the unauthorized content usage boosts. To minimize the impact and protect valuable content, operators need to enhance the security level of STBs. STB chipsets with advanced security engines such as the M3383/M3603 enable STB manufacturers to provide advanced security product and lower operator’s Total Cost of Ownership.

“Operators in emerging regions are beginning to realize the importance of protecting their assets against piracy behaviors. Meanwhile, STB manufacturers are facing the challenges of designing products with the highest level of security for content distribution while maintaining overall bill of material (BOM) costs. Now with Conax-certified advanced security feature, the fully integrated M3383 and M3603 enable STB manufacturers to reduce the number of components required and significantly shorten time to market. These two chipsets also provide operators with the best security available against the illegal usage of content.” said Tony Chang, vice president of the International Business Unit at ALi Corporation.

“Conax is pleased that ALi’s security-enabled Ali M3383 STB chipset has achieved certification of Conax’ rigorous security requirements. Providing high level security devices in today’s price-sensitive market is an advantage for the entire TV industry, says Geir Bjørndal, EVP Strategy & Innovation, Conax. Additionally, this solution enables operators to upgrade quality of service and ensure subscribers’ rights and interests.” Another chipset of the same product family, the M3603 for High Definition (HD), will also be available with advanced security feature in the near future, according to Ali Corporation.

ALi’s M3383/M3603 SoCs feature dual 32-bit RISC CPUs, dual USB 2.0 HOST, SATA and 10/100 Mbps Ethernet, which are ideal for developing standard definition/ FULL HD 1080p STBs. Other major functional blocks include a DDRII SDRAM/flash memory controller, SPDIF, 5.1 channel digital audio interface to support Dolby® Digital, Dolby® Digital Plus, HE-AAC, etc., and dedicated display engine for STB playback. An embedded TV encoder, audio DAC, HDMI transmitter, accelerator for MPEG-1/2/4, H.264 and JPEG decoding and demodulators allow these SoCs to offer flexible total solutions for satellite, terrestrial, cable and IPTVs.

The Conax-certified M3383/M3603 solutions are in mass production and have both received initial orders from STB manufacturers. Both STB SoCs will be showcased at the CSTB’2011 in Moscow, Russia from Feb 1 to 3rd, 2011, at ALi’s booth in Hall 3, Booth #494 .


refer,ALi’s Set-Top Box Chipsets M3383 and M3603 Deliver Conax Chipset Pairing Advance Security Technology on Content Protection - Firmenmitteilung
 

Attachments

  • m3383.jpg
    m3383.jpg
    11.9 KB · Views: 365
Last edited by a moderator:
Hebu leteni basi hilo somo la namna ya kuchakachua Decoder ya Startimes, maana baadhi wameacha kutumia baada ya kupandisha bei ya vifurushi vyao.
 
TV kwa nchi za wenzetu Kama Singapura, Malaysia India Dubai Misri Kuwait Oman Pakistani na kwingine kwingi ni kama dola 15 hivi kwa mwezi kwa kifurushi kama cha dola 78 au 90 za DSTV kwa mwezi, nadhani Silikali Inatakiwa kuingila kati huu unyang'anyi wa DSTV, kama mnabisha hebu jaribuni kugoogle Vedeocon tv Dubai tv na wengine wengi muone hawa jamaa wanvyo vuna shamba la bibi hapa
 
agree, that is possible kuchakachua, wapo watu mbona hawalipii kabisa.
 
hiv watu bado mnalipia dstv? ile c ni bure kabisa lipieni akili co pesa
 
funga sat tv dish tu
mpg4 receiver
FUNDI SATELlITE TV DISH NA CCTV CAMERA INSATALLATION

DSAT LTD accredited installer
Email Address: fluvies@gmail.com
Phone #: +255- 0656206129
Other Phone #: +255-0654405727
P.O.BOX 62552 DSM
Area: Dar Es Salaam

Website: WWW.DSAT.co.tz
DSAT LTD accredited installer: We are the leading Tanzanian

Company in importing, distributing, installing and maintenance of

satelite tv dish, cctv camera installation & solarpannel installation in

Tanzania and East Africa. On our effort to satisfy today's complex

operational needs, we serve our customers in three interdependent

areas of communication market: distribution of communications

technology and services, systems integration and public operating

service. We are fully dedicated to providing products, systems and

services and specialized satelite communication, security systemsas

well as electrical installation . We have a wide range of customers,

including industrial, commercial,hospital, hotels, logy,

offices,intitutions, apartimens and transportation companies and

utilities

arusha vp mna ofisi ??
 
Blabla nyingi sana vijana! Hadi leo hamna mwenye ushahidi kuwa iredeto 2 imekuwa cracked.

Hivi card sharing siyo Hacking, maana watu tunakula card sharing mpaka tunazeeka sasa bila kulipia DSTV!!
 
Back
Top Bottom