UMETUDANGANYA VYA KUTOSHA,UMETUPOTEZEA MUDA VYA KUTOSHA NA UMEPOTEA HUONEKANI TUMEBAKI BILA MAJIBU TUNAHISI LABDA NA WEWE NI MMOJA WAWAHANGA WAAJALI YA SUMRY AU NI MUHUNI TU ULIEAMUA KUTUPOTEZEAMUDAWETU NA HUKU UKIJUA HUWEZI KUFANYA ULICHOTUAHIDI! WATU KAMA NYIE NDIO MNASHUSHA HADHI YA ''JF''.:biggrin1: :biggrin1:!! umeniudhi sana ,wewe niwakupigwa ban tujue moja!
ngoja nikalipie kihalali dstv yangu!!
Zinachakachulika ila waTZ mnaongea sana,DSTV mfano watu tulikuwa tunajitazmia bure waTZ wakaenda mpaka multchoice wakawa wanawatambia tunaangalia bure tunaangalia bure,ikibidi wastuke wakaifunga sasa hivi ukijua technology unakula vitu mwenyewe tu akuna kumwanga maujanja kwenye open kama apa. Alafu kesho tu mautamu yanakuwa blocked. Watanzania iwapo tungeweza tunza siri kama wapakistani na shekhee Osama,tungefika mbali
Mimi dstv nina compact plus nataka primium inawezekana??
kama kawa yangu nilikuwa chimbo zinachakachulika naombeni 3 daysnishushe darasa . Majaribio tayari nimefanikiwa kuweni na subra wanatamani@gmail.com
nadhani inawezekana kuna hoteli moja ubungo inatumia receiver za kawaida za satelite but wana some chanel za dstv na hawalipi hata centi moja
Mkuu ziko decorder zilikuwa zinadescramble hizo channels zote za DSTV tena ni zaidi ya Premium, tatizo ndo hilo la wabongo kutamba, jamaa wakapihga pin so kwa sasa hakuna ujanza tenaMkuu nijuavyo mimi DSTV is encrypted pay tv that can not be hacked.
Ni sahihi mkuu unachosema, sbb hata hapa mtu akimwaga data, kesho utakuta wameblock tena, hata ukisema utumie PM unaweza kuta unam-PM fraud controller wa DSTV, so tuachana tu na habari ya kuchakachua tulipie tu, au ukijua namna ya kuchakachua usitangazeZinachakachulika ila waTZ mnaongea sana,DSTV mfano watu tulikuwa tunajitazmia bure waTZ wakaenda mpaka multchoice wakawa wanawatambia tunaangalia bure tunaangalia bure,ikibidi wastuke wakaifunga sasa hivi ukijua technology unakula vitu mwenyewe tu akuna kumwanga maujanja kwenye open kama apa. Alafu kesho tu mautamu yanakuwa blocked. Watanzania iwapo tungeweza tunza siri kama wapakistani na shekhee Osama,tungefika mbali
Mkuu ziko decorder zilikuwa zinadescramble hizo channels zote za DSTV tena ni zaidi ya Premium, tatizo ndo hilo la wabongo kutamba, jamaa wakapihga pin so kwa sasa hakuna ujanza tena
hakuna kisichowezekana. Watu wanachakachua DSTV huu mwezi wa 6 sasa hajaweza ku block. Unatumia dish mbili za ku band, receiver mbili, Arisat 600, na moja ya kichina ndogo kama walkman. .chukua dstv mdagasca usichukue south Africa.hahahaha wabongo kwa kujisifu bwana, wachina wamehack google ingekua bongo sjui ingekuaje. Technology ya dstv ina gps data jamani ukiwasha decoder they see it
hakuna mtu yoyote dunia mpaka sasa aliyeweza ku hack pay tv kama vile dstv. kwani dstv wanatumia technology inayoitwa irdeto 2. irdeto 1 kwa sasa haitumiki tena kwani kuna hacker mmoja aliiweza na kuifanya kuwa useless. sasa wanatumia irdeto 2 ambayo kwa kila dakika inabadilisha decoding word yake. (kama password kwa ajili ya kufanya descrambling). tokea siku ile ile alivyoanzisha hii thread mimi nikamwambia kuwa na bet hakuna kitu hicho.
weka dau lolote. huwezi ku hack irdeto 2. njia pekee labda utumie cardsharing ambayo kwa hapa tz wengi wetu hatujui hata ndio nini.