kama kawa yangu nilikuwa chimbo zinachakachulika naombeni 3 daysnishushe darasa . Majaribio tayari nimefanikiwa kuweni na subra wanatamani@gmail.com
DSTV hazichakachuliki ila unaweza kufanya half chakachualing...kwa kuongeza channel ambazo sio za DSTV. WAKE UP TANZANIAN EHE!!
mmh huu sasa utani!easy unaunganisha line ya simu land line una dial 911 then unawasha deki na kuunganisha video camera bang dstv free
Easy unaunganisha line ya simu land line una dial 911 then unawasha deki na kuunganisha video camera bang dstv free
kama kawa yangu nilikuwa chimbo zinachakachulika naombeni 3 daysnishushe darasa . Majaribio tayari nimefanikiwa kuweni na subra wanatamani@gmail.com
Zinachakachulika ila waTZ mnaongea sana,DSTV mfano watu tulikuwa tunajitazmia bure waTZ wakaenda mpaka multchoice wakawa wanawatambia tunaangalia bure tunaangalia bure,ikibidi wastuke wakaifunga sasa hivi ukijua technology unakula vitu mwenyewe tu akuna kumwanga maujanja kwenye open kama apa. Alafu kesho tu mautamu yanakuwa blocked. Watanzania iwapo tungeweza tunza siri kama wapakistani na shekhee Osama,tungefika mbali