Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Hawafai ni wasanii tu,hata bure silitaki decorder lao,kwa wale wanaotaka kuona ligi ya uk wakanunue dish zenj 150000 tu unapata mechizote,ni dish la arabsat chanel inaitwa abudhabi sport iko chanel 4, kwakiarabu inaitwa abudhabi riyadhiya.hakuna malipo yamwezi hata sumni na unaona mechizote ligiya uingereza live!
hata mie nimeona tangazo lao linapita kwenye TV jana nimejaribu kuwapigia ile namba ipo kwenye answer machine hakuna anayepokea sasa sijajua wanataka nini hasa na pia wameweka ili channel ya UBC kwa hapo nimewasifu kwani sasa tutaweza kuona mech za UK prem na UEFA bila tatizo
mm natumia hiyo dish ya arabsat naona ligiyote ya uk,nenda zenj maduka ya malindi au mchangani utapata,waambie wauzaji kua unataka dish yenye chanel za abudhabi sport inazoonyesha ligi ya uingereza utafaidi mkuumkuu chanel gani nyingine unapata?am now fed up with star times
Kuna category ya uhuru,na mambo,sasa sijajua ni kwa bei gani?halafu mbona huduma zao bado sana?mbona karibu channel zote ni free to air kwenye dish za kawaida?ACHENI UWIZI MMEANZA UCHAKACHUAJI KAMA WACHINA WENGINE SIO?
ch. Za ukweli zote wamezifungia na wala hawajasema garama zke...
Nimesikitika sana. Unaamka tu asubuhi unapanga makundi mawili na hapo hapo unafungia baadhi ya kundi kwa mteja bila kumwambia kiasi gani kila kundi. Wachina ni wachinaa kweli na feki