Star Times nao wameanza magumashi!

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Kuna category ya uhuru,na mambo,sasa sijajua ni kwa bei gani?halafu mbona huduma zao bado sana?mbona karibu channel zote ni free to air kwenye dish za kawaida?ACHENI UWIZI MMEANZA UCHAKACHUAJI KAMA WACHINA WENGINE SIO?
 
Jamaa ni wajinga sana yani wanatengeneza mradi kwa free channel walizojaza humu tena za kichina ambazo hazina tija kwetu! Nimeona tangazo lao leo nasubiri wataje bei nimwachie mwanangu akachezee ka-decorder kama TOY
 
hata mie nimeona tangazo lao linapita kwenye TV jana nimejaribu kuwapigia ile namba ipo kwenye answer machine hakuna anayepokea sasa sijajua wanataka nini hasa na pia wameweka ili channel ya UBC kwa hapo nimewasifu kwani sasa tutaweza kuona mech za UK prem na UEFA bila tatizo
 
Hawafai ni wasanii tu,hata bure silitaki decorder lao,kwa wale wanaotaka kuona ligi ya uk wakanunue dish zenj 150000 tu unapata mechizote,ni dish la arabsat chanel inaitwa abudhabi sport iko chanel 4, kwakiarabu inaitwa abudhabi riyadhiya.hakuna malipo yamwezi hata sumni na unaona mechizote ligiya uingereza live!
 
mkuu chanel gani nyingine unapata?am now fed up with star times
 
hata mie nimeona tangazo lao linapita kwenye TV jana nimejaribu kuwapigia ile namba ipo kwenye answer machine hakuna anayepokea sasa sijajua wanataka nini hasa na pia wameweka ili channel ya UBC kwa hapo nimewasifu kwani sasa tutaweza kuona mech za UK prem na UEFA bila tatizo

ch. Za ukweli zote wamezifungia na wala hawajasema garama zke...
 
Biashara ya kuiga itawaghalimu manake sasa wanaiga mtindo wa TING ili wapate cha juu, sukari imekuwa shida itakuwaje chanel za star mimi nawashauri watoe chanel kwa mtindo wa luk ili mtu anunue kadiri anavyoweza vinginevyo enzi za tv wakati wa Mwl zinzkuja.
 
Halafu si wangetoa taarifa mapema?waache usanii ile simu yao ya customer care haipatikani!kazi wanayo!
 
star times ni wezi...channel za ukweli wamezitoa, wameacha channel makapi,
 
mkuu chanel gani nyingine unapata?am now fed up with star times
mm natumia hiyo dish ya arabsat naona ligiyote ya uk,nenda zenj maduka ya malindi au mchangani utapata,waambie wauzaji kua unataka dish yenye chanel za abudhabi sport inazoonyesha ligi ya uingereza utafaidi mkuu
 
Kuna category ya uhuru,na mambo,sasa sijajua ni kwa bei gani?halafu mbona huduma zao bado sana?mbona karibu channel zote ni free to air kwenye dish za kawaida?ACHENI UWIZI MMEANZA UCHAKACHUAJI KAMA WACHINA WENGINE SIO?

Thread yako haina mpangilio wa kuvutia kusoma....
 
ch. Za ukweli zote wamezifungia na wala hawajasema garama zke...

Nimesikitika sana. Unaamka tu asubuhi unapanga makundi mawili na hapo hapo unafungia baadhi ya kundi kwa mteja bila kumwambia kiasi gani kila kundi. Wachina ni wachinaa kweli na feki
 
washenzi sn...kwanza VAT hawalipi...ikizidi tsh 12000 iyo (the so called)uhuru,then naipa RIP
 
Star times wapuuzi wakubwa..Mafisadi wakubwa nyie..lazima mpoteze wateja wengi kwa upuuzi mliokuja nao.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom