Star Times na utapeli/uongo wa kushindwa kuonyesha fainali Euro 2012..

SuperSport ndo wana haki pekee ya kuonyesha Euro 2012 Sub Sahara Africa, labda UBC walianza kuonyesha illegally lakini wakapigwa stop baada ya mechi ya kwanza.
 
Mkuu wakati SuperSport wanaingia mkataba hawa vilaza wetu walikuwa wapi..? Mie bado siamini kabisa kwamba DSTV wanaweza kuwa na sauti kubwa hapa kwetu bila ya kukingiwa kifua.. Kama viongozi wetu wangekuwa wazalendo basi starehe pekee ambayo walala hoi walikuwa wamebakiwa nao icingenyang'anywa kwao..! Nimeshakosa kuangalia mechi 3 za Euro na uwezo wa kumilki DSTV sina.. Damn dem..
 
dah...!! Kwa hiyo sisi tusio na uwezo na hiyo supersport ndio basi tena...
 
Mkuu wakati SuperSport wanaingia mkataba hawa vilaza wetu walikuwa wapi..? Mie bado siamini kabisa kwamba DSTV wanaweza kuwa na sauti kubwa hapa kwetu bila ya kukingiwa kifua.. Kama viongozi wetu wangekuwa wazalendo basi starehe pekee ambayo walala hoi walikuwa wamebakiwa nao icingenyang'anywa kwao..! Nimeshakosa kuangalia mechi 3 za Euro na uwezo wa kumilki DSTV sina.. Damn dem..

Serikali haiwezi kuingilia mkataba ni kati ya UEFA na SuperSport. Unless unataka serikali inunue haki za kurusha, ambayo ni gharama kubwa.
 
Mkuu as far as i knw haki za kurusha matangazo zinawekwa sokoni na wanachofanya haya makampuni ni ku-bid.. Najaribu kuwaciliana na baadhi ya watu ambao wako katika nchi tofauti hapa Africa nione kama kuna local Tv stations zinaonyesha haya mashindano.. Jibu nitakalolipata ndio litanisaidia au kujenga hoja au kukaa kimya..
 
Mbona nasikia moro goro ile station ya mbunge wanaangalia for free
 
This is where TCRA supposed to step in and protect consumers(viewers)but tcra is just another rubbish regulatory authority!
Hawa jamaa walitangaza zaidi ya 2wks wataonyeshe Euro2012 through UBC but bcoz of rights UBC can only broadcast Euro2012 within Uganda hence StarTimes were forced to remove UBC channel completely from their package till the Euros end!This is a SCAM
 
Back
Top Bottom