Star times hawataki usome taarifa hii.

Hiv nyie nae hamshangai! Mshaona wapi vitu vya wachina vikawa vina ubora, kwanz hicho king'amuz ukiwsha saut zake hazielewek mara zinafoka tabu tupu ushaona wap ukanunu king'amuz sh. 39000 wakat hiyo bei ya dstv unanunua hivyo ving'amuz vya startimes 4 na unalipia pia na malipo ya sh 9000 vyte vinne huu wiz mtupu, yan mpaka jk akimaliza muda wake atakuwa ametuvua nguo zte maana anaimaliza kila idara mh!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hii ni hatari,TCRA watakuja kuingia kwenye kashfa nzito.
 
thanx 'pcman'...haya wanaopinga kuwa taarifa za gazeti la 'SAUTI HURU' sio za kweli wasome post ya pcman. TZ tumejawa na miskendo as if hatuna serikali. khaaa...mhe. MNYIKA aliposema Bungeni kwamba JK ni legelege hakukosea ingawa baadhi ya watu walimwona hana adabu! hivi intelijensia ya nchi hii iko wapi? imelala? kazi kuishughulikia CDM tu ili waiue, tubaki kama mandondocha!
 
Magazeti ya kidaku kama haya ndio yanatakiwa kufungiwa, sio MWANAHALISI. maana hii habari ni uongo 100%
 

Spot on mkuu, swali ni je hivi vingamuzi vya StarTimes hapa kwetu Tanzania viko Fully compliant with DVB-T2 standard au la? Jibu kam ni hapana, kwa nini Serikali/TCRA haiwalazimishi StarTimes ku-withdraw vig'amuzi hivyo sokoni wakavi-replace na vile vinavyo kubarika kimataifa! Wenzetu Waganda hakulilazia damu suala hili, sisi JE?
 
Oh my God, tz ya leo, naona ni kama ya mwaka 1991 zama za kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 
Kumbe Vin'gamuzi vya Startimes ni kimeo? teknolojia yake kuisha tarehe 31 Desemba! China vilikataliwa, Uganda vikakataliwa, vimeletwa Tanzania nchi inayoongozwa na wababishaji!

Nadhani huu ni wakati muafaka kwa televisions zote hapa Tz zilizojiunga kwenye Star Times kuja na concrete statement juu ya hii kashfa either kukanusha or kukubali ili wananchi wajue nini kinaendelea. Kumbukeni kuna consumer rights,
 
January Makamba aka Kiranga ni kilaza.

Kiranga ni kilaza, kashasema mwenyewe hapa hajui kitu (na hajui hata kama hajui) hivyo hilo halina mjadala.

January Makamba? That's another matter.

Mtu mwenye kumfuatilia Kiranga kwa umakini mdogo tu anaweza kugundua kwamba Kiranga si January Makamba. Kwa sababu Kiranga kashawahi kumchana January Makamba na familia yake kisawasawa hapahapa JF, sasa haiyumkiniki January Makamba akajikandia mwenyewe na familia yake.

Na kwa kuwa wewe umeshindwa kugundua hilo, you are less than kilaza.

Guluguja uso uti!
 
"Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni kheri mama weeeee" Aliyetunga wimbo huu kama yupo basi ajitokeze nakuomba ufungiwe. Tanzania aliyoitungia siyo hii hapa.

Nilipo mimi ni miongoni mwa mikoa tunayosubili digili lkn kama mambo yenyewe ndo hayo na basi wasije.

Makamba jitokeze useme kitu ili kama ni uvumi usieneee sana na kuathiri utendaji kazi wa baadhi ya watu.
 

Mkuu usiashau pia mradi wa kuweka kamera kwenye mabasi!
 
Kaka kilichoandikwa ni chenye ukweli. Achana na mmiliki wa gazeti. Ni kweli kabisa kuwa aina ya ving'amuzi tunavyouziwa hapa sisi na StarTimes Waganda walivikataa kwa madai ni old model. Tatizo kwetu lipo TCRA kwani hawataki kusema ukweli.

hili gazeti ni la mchumia tumbo mmoja...ingawa sijathibitisha kuhusu hiyo habari ya ving'amuzi
 
Wangekuwa na uwezo wangetamani watuuzie mpaka hewa for breathing ila uwezo hawana
 
ni bora tu kula msuba :majani7: ukiwa tanzania! waeza kufa mtu wallahi!

Kwa pressure za nchii hii unaweza kusaidia japo ni kama panadol kwa malaria......HAYATOKWISHA!!!!
 
tatizo la nchi siku zote me nasema ukweli mkiamua nichukieni,sio viongozi ni sisi mazuzu.wanajua udhaifu wetu kuwa tutaishia kulalamika tu kama wajinga flani hivi wakti wao wanaendelea kutuchinja.startimes ni utapeli mwingine na sikudanganyi tutalia wengi sana.but at the end of the day tutaimba ccm eeee ccm ni nambari oneeee.shame on u wadanganyika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…