mgunda1990
Member
- Jul 19, 2012
- 73
- 4
jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona!
Natanguliza shukrani!
Natanguliza shukrani!
Ila inayotumika kwa sasa ni ya mwaka 2009Kweli mkuu kuna shida kubwa, itakuwa vizuri pia kwa mtu mwenye Kanuni za Utumishi wa Umma,2003 atusadie.
jaman mwenye hii ki2 soft copy naomba aiweke humu tafadhali,tunaburuzwa sana haki zetu zinatafunwa hivihivi tunaona!
Natanguliza shukrani!