Duh Mwalimu mbona unachemka hivyo? Standing order haihusu school issues hata siku moja na hakuna hata neno moja acha sentensi inayozumgumzia school issues. Ndio maana Mkuu wako anakunyanyasa....N PM email yako nikutumie bwana
Siku zote jaribu kuelewa kabla ya kutoa majibu! the "Standing order" or "Government Standing Order" ni kitabu kinachotoa miongozo mbalimbali kwa watumishi wa umma: haki za msingi na maslahi yao kwa ujumla; wakati gani mtumishi anastahili kufanya nini na kwa namna gani.
Mara nyingi kila institution inakuwa na kopi ambayo ukaa kwa bosi. Mabosi wengi wanaogopa kuiweka wazi kuogopa misukosuko toka kwa watumishi koz mambo mengi yanaminywa.
Kitabu hiki kinapatikana kwenye maduka ya Serikali-mfano maeneo ya Posta kwa walioko Dsm. kitafute kama wewe ni mtumishi hili upate kujua haki zako na makosa ambayo pengine umekuwa ukiyatenda ukidhani ni haki yako.
Duh Mwalimu mbona unachemka hivyo? Standing order haihusu school issues hata siku moja na hakuna hata neno moja acha sentensi inayozumgumzia school issues. Ndio maana Mkuu wako anakunyanyasa....N PM email yako nikutumie bwana
mkuu nami naomba ntumie tafadhali...
vanmedy@gmail.com
Nimekutumiamkuu nami naomba ntumie tafadhali...
vanmedy@gmail.com
Nimekutumiana mimi ukitumiwa tafadhali.... johnseth70@gmail.com
Nimesema nimeshatuma,angaliajohnseth360@gmail.com tafadhali mkuu na mimi pia
Kwa mfano, nasikia standing order hairuhusu mtu yeyote yule kutumia peni nyekundu isipo kuwa RAISI na MWALIMU (wakati wa kusahisha tu)
Pia Mawaziri ndio wanaoruhusiwa kuandika kwa penseli. Kila kitu kipo wazi, kuanzia namna ya kuandika barua ...... Isome kwa kina, ielewe, na ikariri iwe kwako kama msaafu au Biblia.
Ikiwa kama hujapata, tafuta kwa Google. Andika PUBLIC SERVICE STANDING ORDERS, 2009.
Usipofanikiwa, ni PM barua pepe yako, nikiutmie. Natumia simu, siwezi kuipandisha.
Public Service Standing Orders ni muhimu kwa mtumishi, kama vilivyo vitabu vitakatifu vya dini. Pia usisahau Code of Ethics and Conduct, Employment and Labour Act.
Nimekutumia
tayarimkuu naomba na mimi,mihayoalfred@gmail.com