standard chartered bank

standard chartered bank

maize

Member
Joined
May 8, 2012
Posts
22
Reaction score
1
jambo wana jf,kama kuna mtu amewai kufanya online test ya hii bank,anisaidie test inashindwa kuload,nimetumia kila soft wap,uwezo wangu umeisha plz help
 
Internet inatakiwa iwe ktk hali nzuri .i mean uwe na bundle la kutosha au nenda kafanyie internet cafe .me nlifanya majibu yakaja nimeboil .jaribu jitahd kuangalia hayo mapichapicha vzr ndo test zenyew follow instruction
 
Back
Top Bottom