kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Nilisoma hapa nahisi sikuelewa vizuri. Ila nahisi wana uhusiano.
Stanbic Bank - Wikipedia, the free encyclopedia
Hivi bongo hatuna ma-IT experts wanaoweza ku-hark system ya stanbic kweli!!!!!?????
teheteh, ushahambiwa mwenyekiti wa bodi ni KINANA unategema nini?
Mkuu hizo sheria zinatekelewa na kusimamiwa na nani?duh wtz mnamoyo sana-To change this we need new utawala mpya nje ya ccm.Kwa kuwa Stanbic wamegoma, na Inaonekana wana baraka za wakubwa flani kutoitoa orodha, je Hakuna sheria za nchi zinazoweza kuwalazimisha kutoa hiyo list? Japo majaji wetu nao walikula cha juu lakini nahisi kutakuwa na taratibu kama sio za hapa basi hata kimataifa.
Hakuna sehemu tunaweza kuishtaki stanbic wakatoa ile list?
Na akili yangu inanituma kwamba ujio wa Zuma ulikuwa na kitu flan kuhusu Escrow kwa sababu stanbic ni member wa standard bank ambao ni South Africa based.
Ebu tuchangamshe akili hapa.
Angalia kuna tofauti bayana:
(1) Stanbic Bank is a division of Standard Bank; Standard Bank now trades under the name Stanbic Bank in Tanzania and other African countries.
(2) Standard Chartered PLC is a British multinational banking and financial services company headquartered in London.
so serikali iko mfukoni mwa MboweKwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Mbowe nae anaweza kusababisha serikali na vyombo vyake vikapata ganzi?Basi cheo cha amiri jeshi Mkuu tulikitupa kwenye msitu wa hifadhi ya milima udzungwa.Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
kwenye orodha ya stanbic na mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
I thought, kama wapinzani wameweza kuwa convince donors wanaweza wakatia presume hapo pia tukapata list.Mkuu hizo sheria zinatekelewa na kusimamiwa na nani?duh wtz mnamoyo sana-To change this we need new utawala mpya nje ya ccm.
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo