Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Lizaboni kiongozi, mbona mnakuwa vipofu kiasi hicho nyie waungwana!!! Kila kitu nyie ni siasa za kujadili mtu, hata haya mambo yanayoongelea taifa kazi yenu ni kuleta siasa za vyama tu? Lini mtakuwa kisiaaa Jamani...so sad..hili taifa lina tabu kuwa na binadamu wenye weledi wa kuku.
Orodha ipo Mbowe na Slaa walionekana wamebeba viroba vya pesa
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Orodha ipo Mbowe na Slaa walionekana wamebeba viroba vya pesa
Dada Eliza Boni mbiwe ndo Nani tujuze.
Stanbink na Standard Charterd ni benki mbili tofauti.Kwa kuwa Stanbic wamegoma, na Inaonekana wana baraka za wakubwa flani kutoitoa orodha, je Hakuna sheria za nchi zinazoweza kuwalazimisha kutoa hiyo list? Japo majaji wetu nao walikula cha juu lakini nahisi kutakuwa na taratibu kama sio za hapa basi hata kimataifa.
Hakuna sehemu tunaweza kuishtaki stanbic wakatoa ile list?
Na akili yangu inanituma kwamba ujio wa Zuma ulikuwa na kitu flan kuhusu Escrow kwa sababu stanbic ni member wa standard bank ambao ni South Africa based.
Ebu tuchangamshe akili hapa.
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Nilisoma hapa nahisi sikuelewa vizuri. Ila nahisi wana uhusiano.Stanbink na Standard Charterd ni benki mbili tofauti.
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo