Stamina wazo la leo vs roma 2o30!!..nani mkareee!!!

Stamina wazo la leo vs roma 2o30!!..nani mkareee!!!

jamessungo

Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
71
Reaction score
29
Nimesikiliza nyimbo mpya ya stamina na fid q..duh!..hapa mtaani kuna ubishi eti we kwa upembuzi yakinifu unaona nyimbo ipi kali kati ya hizi mbili!...TIRIRIKAA!!
 
roma huwa naona anapiga kelele tu simuelewi!anajifanya eminem
 
embu attach hiyo ya stamina tuisikilize maana wengine tupo mbali ili tutoa maoni yetu..
 
Roma noma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huwez ukamlinganisha roma na huyo sharobaro hata cku moja roma ana themes za ukweli.
 
Hivi hapa zinalinganishwa hizo tracks mbili, wazo la leo vs 2030 au wanalinganishwa wasanii Roma na Stamina?
 
Hivi hapa zinalinganishwa hizo tracks mbili, wazo la leo vs 2030 au wanalinganishwa wasanii Roma na Stamina?

Bahat yako Umeniwah kuuliza..KIUJUMBE 2030 IS BEST BT KIMETAPHOR WAZO LA LEO IS GOOD..
 
Ila ka stamina kana mafumbo kwel!!..yan m huwa hata ckaelew !! Mara ooh!..unaweza kuish mwembe yanga thn ucwe...!??!
 
Mimi binafsi huwa siipendi style anayotumia Roma naona kama inaturudisha miaka ya 90, ila kiuandishi anaandika vizuri.
 
Ila ka stamina kana mafumbo kwel!!..yan m huwa hata ckaelew !! Mara ooh!..unaweza kuish mwembe yanga thn ucwe...!??!

Anakwambia "Unaweza ukawa unatumia kinga na ukafa kwa uaminifu"
 
Wote wakali. Stamina amejikita katika mambo ya kijamii wakati Roma yupo kisiasa zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom