Stamicooooo

Stamicooooo

sukhote4000

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Kuweni teyari mkao wa kula kwa wale walioomba stamico re advertised posion mda wowote majina tataachiwa ,kulikuwa na mchakato wa kumtafuta director general na teyari ,pia wale wa interview ya kwanza ya dec wategemee kupigiwa simu pia kuanza kazi within two weeks
 
Thanks kwa info mkuu.
 
Ehh Mwenyez Mungu mwaka huu hebu nipe furaha na mimi nipate kaz.
Kusugua bench miaka miwili sio mchezo.
 
Kuweni teyari mkao wa kula kwa wale walioomba stamico re advertised posion mda wowote majina tataachiwa ,kulikuwa na mchakato wa kumtafuta director general na teyari ,pia wale wa interview ya kwanza ya dec wategemee kupigiwa simu pia kuanza kazi within two weeks
MNAPOST TAARIFA AMBAZO HAMNA UHAKIKA....HATA JUZI JUZI KUNA JAMAA ALIPOST ISSUE KAMA HII ANAJIITA mapinduzi daima ambao ni uongo. Acheni kupotosha watu
 
Muungwana Matunge...tatizo la Watanzania ni kukosoa tu bila kuja na mbadala wa jambo. Huu aliosema sukhote4000 ni ukweli. Kwa taarifa yako kila kitu kinaendelea vyema ni suala la kukamilisha mchakato tu, ili wasimamizi wa rasilimali hii waweze kuanza kazi.

Wakati mwingine...mimi huwa sijibu hoja ambazo zina mwelekeo HASI.

Huu ndo ukweli kwao baadhi wa watu hapa JF
 
Back
Top Bottom