Habari wakuu.
Napenda kuwajulisha kuwa STAMICO wameanza kuita watu kazini, mimi binafsi ni mmoja ambaye nimepigiwa simu siku ya jumamosi tar 1 january saa 12.13(sita mchana) na natakiwa kuripoti siku ya jumatatu.
Naombeni muendelee kuwa karibu na simu zenu.
Natanguliza shukrani na namshukuru Mungu sana kwani Mungu ni mwema

Hongera sana kaka, vp watu walioitwa ni watu wa site au head office ya stamico
vipi mlopata stamico, kwa ngazi ya degree mishahara ikoje?
Jamani kama kuna mtu anayejua mambo yanayoendelea stamico anisaidie
Wewe u mmoja wa waliofanya usaili?
Katika nafasi zote zilifanyiwa usaili tar 5 hadi 13 Dec, 2013 wameshaitwa kazini.
Isipokuwa nafasi za mwezi Feb, 2013 mchakato unamalizikia ili waitwe.
Wewe u upande gani?
Hivi ma Meneja nao wameitwa? Je, Wakurugenzi?
Mkuu watu wa internal audit wameshaanza kuitwa??
Me nilifikili wakimaliza usahili watayatangaza majina ya walio faulu kama walivyofanya kwenye majina ya inter view me nilifanya dec 2013
Pole muungwana.... jamvi limeshaanuliwa tayari.
Mchakato wa kuanza kazi na kupewa barua za ajira kwa wote waliofanya usaili Dec, 13 umekamilika.
Isipokuwa kwa Managers na Directors tu.
Wewe u mmoja wa waliofanya usaili?
Katika nafasi zote zilifanyiwa usaili tar 5 hadi 13 Dec, 2013 wameshaitwa kazini.
Isipokuwa nafasi za mwezi Feb, 2013 mchakato unamalizikia ili waitwe.
Wewe u upande gani?
Mkuu, Kwa nafasi za mwezi Feb wanategemea kuita lini?