Staili za ulaji koni

Walamba KONI mmefikiwa. ukimuuliza mleta mada kuwa amejuaje kulamba koni hana majibu. kongore mshana kwa uzi mzuri.
 
Na kuna nyimbo ya Mbosso anasema "wenzake wanakula fegi ye anataka ball cone" naona wote maana yenu 1😅
Mungu shahidi mimi sikuwaza ya mboso😀 Ila nyie ndio mmewaza😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…