Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
We ni nani hata uamue kwamba mtu akilia kwa sauti tu na kujigaragaza anakua analia kinafiki???
Kila mtu ana namna yake ya kuonyesha furaha/masikitiko...wako ambao hata kulia hua hawalii kwasababu
sivyo wanavyodeal na machungu yao.Kwahiyo kwasababu tu wa pembeni hafanyi kama wewe
haina maana anakosea.
Hujawahi kuona watu ambao wao wakiwa na furaha sana wanaishia kulia badala ya kucheka??Tuwaite nao ni wanafiki
kwasababu wanaonyesha furaha yao tofauti na watu wengine?
Jibu...SIO UUNGWANA wewe kupangia watu namna gani waonyeshe machungu yao.
Wana MMU habari,
Kwanza kabisa napenda kutoa laana zangu za dhati kwa yule member aliyesema MMU Ifungwe.
Pili, ningependa tujadili swala la kulia msibani,
Kuna watu wanalia kwa staha na kuonyesha machungu yao toka moyoni,ila kuna kundi la pili ambalo linakua kwa kasi,la waombolezaji wanaolia kwa unafiki na kebehi.
Utakuta mtu analia na kugaragara chini,kuanzia sebuleni mpaka nje ya nyumba.
Jaman huu ni ungwana?[/QUOTE]
Labda ni mapepo.
Na wale ambao wakipata taarifa ya msiba,wako macho makavuu
halafu wanapitia bar kwanza,wanakunywaa,ndio wanaelekea msibani kutoa 'perfomance' ya kulia....
Nilidhani unazungumzia mlio wa kitandani! ya misibani sitapenda nijadili maana kila mtu anastyle zake za kulia. hata wanaume wanalia misibani, na wengi wao wanalia moyoni kitu ambacho ni ngumu ku assess.
Kuhusu milio ya kitandani ukikuta mwanamke analia mpaka anagaragara huyo ni mfanyabiashara mkuu angalia sana!
We unawaza ngono tu.
Siyo hivyo mkuu, ni experience, na milio ya misibani hazikustahili kuletwa kwenye hili jukwaa la MMU.
Basi ina maana wamepokea huo msiba kiasi kwamba heri akapoteze kwanza mawazo huko baaNa wale ambao wakipata taarifa ya msiba,wako macho makavuu
halafu wanapitia bar kwanza,wanakunywaa,ndio wanaelekea msibani kutoa 'perfomance' ya kulia....