Hakuna shida hapo tamaduni zinatofautiana!!!ila ukijiona siku zote upo chini,hapo lazima utaanza kumsifia mzungu...labda kwa tafsiri nzuri mtu akikuambia "nahitaji laki moja,ntakurudishia jumatatu" utampa au ndo utaanza kusema kwani lazima,huwezi kuomba...tuache kujidharau waafrika,na ndio maana ukiitwa black unakasirika kisa hujiamini,mtoa mada katoa vizuri ila wewe unaye comment unajidharau.