Staili mpya ya wizi

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,097
Reaction score
51,255
Kama vile nalia, staili taamu ya upigaji ma supermarket
 

Attachments

  • picha.jpg
    18.2 KB · Views: 1,366
Mwanzo nilikuwa sijaelewa, kumbe 'kokap' zimedakwa tayari. Sura zao kama wakwe zangu wa Kilimanjaro
 
Mbona wanasura za kikikuyu, hao ni wakenya eenh?
 
Kama Kenya vile hapa mahali...
 
Aisee......
Maisha bora kwa kila mtanzania!

Kwa kuiangalia picha kwa haraka haraka na kama mleta picha angesema ni Kenya basi hapo ni Rongai...Tuskys Supermarket!!!
 
wE Mjamaa umejuaje aiseee unakaa kenya nini


Nilishawahi kuishi huko mkuu kwa miaka miwili!!
(Don't take it seriously bro!!) Nasikia Vituo 22 vinarudiwa kuhesabiwa kura upya Odinga alivyosema Kenyatta kachakachua?
 
Nilishawahi kuishi huko mkuu kwa miaka miwili!!
(Don't take it seriously bro!!) Nasikia Vituo 22 vinarudiwa kuhesabiwa kura upya Odinga alivyosema Kenyatta kachakachua?
ndio inakula mazima kwa Odinga rifu, uchakuachuzi wa wazi unawadia, bora angekubali yaishe
 
Mbona wanawadhalilisha dada zetu! Haya wapigania haki za wanawake mko wapi?
 
Ninavojua huwezi kutoka na kitu supermarket coz pale kwenye sehemu ya kutokea kuna mtambo...
 
maisha yenyewe tite,sa kuna nini tena,pole zao mno,ajali kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…