Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Hakika wanastahili watumishi wetu hao....Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,
**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.
Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
6.
Na wakati huo huo mtumishi aliyestaafu baada ya utumishi wa miaka 40 analipwa na hazina sh 110,000 kwa mwezi - AIBU!!Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,
**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.
Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
6.
Stahiki zako Je?Naomba kujua na stahiki za RC AMA DC
Kwanini DAB alimpiga mstafu je mlinzi alikuwa wapi?Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
Kwamba tumekubali Hatuwezi kutibu watu wetu?Matibabu nje ya nchi,
KWenye vyeti vyako sidhani kama unakosa BACHELOR OF ARTS IN CRITICISING AND HYPROCRISYHakika wanastahili watumishi wetu hao....
Mzigo waubebao ni mzito mno....
Uzalendo wetu kwao ni kuendelea kuwahudumia kama hivyo ilivyoainishwa!!
#Viongozi wetu ni TUNU yetu watanzania !
Kwani kuna mtu ana staafuKwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,
**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.
Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva (SUV),
4. Diplomatic passport,
5. Matibabu nje ya nchi,
6.
Hapana, kuna Mstaafu anang'ang'ania mali ya yatimaKwani kuna mtu ana staafu