St,ugustine univesity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

St,ugustine univesity

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by baitani, Sep 18, 2012.

 1. b

  baitani Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ndugu zangu registration pale st.augustine ni issue. Usumbufu.je nawenzangu mmepata usumbufu huo.inakera
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  usumbufu gani??
   
 3. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Dah usinikumbushe nilikuja saa 3 nimemaliza saa 10
   
 4. T

  True seeker Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  mwisho lini wa usajili mkuu?? maana wengine hatujawasili
   
 5. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Nadhani leo ndio mwisho maana orientation ni kesho ...lakini njoo tuu usiwe na shaka..amna fimbo za kuchelewa...lakini uwe na ada yao tuu
   
 6. T

  True seeker Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  hahahaha lakin vp hostel na fain inaanza lini???
   
 7. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Ahh hostels za ndani zitakua zimeisha. za nje ndio tabu zaidi kila unayoenda imejaa

  Fain gani mkuu??
   
 8. e

  evoddy JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hakuna usumbufu kinachotakiwa ni ada yako kwa wale wenzangu na mimi first year NON PRIOLITY COURSE ufike na 733,000/= tofauti na hapo NO registration.Usumbufu hakuna kwa leo mimi nimetumia 30 minutes tu.
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  wanakagua vitu gani na gani kwani?na wanasemaje kuhusu Watu wanaotegemea kulipiwa mkopo na bodi?
   
 10. jov

  jov Senior Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jongereni vijana kwa kulipot kwenu
   
 11. e

  evoddy JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Original certificates na slip za benk basi hawana uhusiano na bodi ya mikopo kama umeaply laon kama mimi na mpaka sasa hawajatoa allocation bodi ya mikopo hautapokelewa.CASH FIRST
   
 12. b

  baitani Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Tcu kwenye mtandao wao walitoa majina 3.kama cheti chako hakina majina 3 ni issue. wengi wetu vyeti vyetu vina majina mawili.
   
 13. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,650
  Likes Received: 2,508
  Trophy Points: 280

  mi nauza rum la off campus kwani za ndani zimejaa
   
 14. b

  baitani Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  cash 733,000 siyo issue pale ,wewe umekuwa na bahati, watu wamekaa siku tatu kwa issue ya spelling kwenye jina lake,wanasema sio wewe tutadhibitashaje wakati namba yake ya mtihani ni hiyo ambayo wanayo wao.hacha kaka we jipange tu
   
 15. b

  baitani Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  cash 733,000 siyo issue pale ,wewe umekuwa na bahati, watu wamekaa siku tatu kwa issue ya spelling kwenye jina lake,wanasema sio wewe tutadhibitashaje wakati namba yake ya mtihani ni hiyo ambayo wanayo wao.hacha kaka we jipange tu
   
 16. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  450,000 tsh kwa wenye mkopo.
  733,000 tsh kwa usiye na mkopo + 300,000 hostel offcampus kiwango cha chini + utakula nini =( )
   
 17. b

  baitani Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kama hostel zimejaa wasaidie wenzenu ambao hawajaripoti toeni contact kwa weye room off cumpus.maisha yanaanzia hapo chuoni
   
 18. T

  Toxty Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Rum za nje kimtindo bado zipo kama vip nitafute kwa 0713777807/o754998927 nita kusaidia kupata rum za nje
   
 19. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,120
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  na bdo kuna usumbufu wa njaa pia chezea bdi wewe
   
Loading...