Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Huyo Sasa anauhakika wa kula
Kuna wale wengne wanaona tu msosi kwenye picha
Kuna wale wengne wanaona tu msosi kwenye picha
Mwaka jana walimu waliongezewa shilingi elf 10 wenye mshahara wa tgts D1,elf saba wenye tgts C,na elf 5 wenye tgts B.Sasa usifikiri Mimi sijui nilichoandika na sipo blind kuhusu ngazi za mishahara na Pesa waliyolipwa walimu baada ya miaka mitatu ya mheshmiwa magufuliKiasi cha pesa kinaendana na ngazi ya mshahara sio kiwango cha elimu lijue hilo.
Halafu sio kila mtoto anaeuza vitu hivyo huwauzia walimu wengine hutumwa na wazazi wao.
Hii ni ishara ya umasikini uliopitiliza.
ASEEEH NDIO LIFE HILOmkuu, nilisikitika dogo huyu nilipomuoana,
haikuwa anauza za mwalimu, hapa alikuwa kama anatoka shule (wa asubuhi) mzazi kamkabidhi bidhaa akaziingize road kuongeza kipato cha familia.