mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Yametukuza sanaDaaah haya maisha acha tu
Hongera sanaMwenyewe nishawahi kuuzishwa aishikrimu jaman na bagia
Hahhaha hongera tena nimeuzishwa na walimuHongera sana
ni kweli usemayo ndugu aiseeYametukuza sana
Thanks to CCM
Ndio, si alikua anakufundisha elimu ya ujisiriamali kwa vitendoHahhaha hongera tena nimeuzishwa na walimu
ccmphobiaThanks to CCM
Mimi nilikua nauza icecream na ubuyu wa walimu kuanzia darasa la kwanza mpaka la nne. Naenda kwao nachukua deli nakuja kuuza shule. Babu yangu angejuaga angewakata miguu wale walimuMwenyewe nishawahi kuuzishwa aishikrimu jaman na bagia
hongera sana.Hahhaha hongera tena nimeuzishwa na walimu
mkuu, nilisikitika dogo huyu nilipomuoana,Daaah haya maisha acha tu