St.Kayumba...Mungu Ibariki afrika...

St.Kayumba...Mungu Ibariki afrika...

Mi niliuza chapati za mama Angu way backback mambo yalipoyumba...kawaida sana
mkuu mimi niliuza maandazi soko la mtaani, nilivyofika siku ya kwanza sikujua kumbe kila mtu alikuwa na plot yake, kila jiwe la kukalishia chombo cha kuuzia lilikiwa na mtu. Ikabidi kukaa kona kabisa nikaambulia patupu. Ikabidi home tubadilishiwe mkakati wa kupita mtaani badala ya kqwnda kujipanga sokoni.
lkn baadae biashara hizo tulipigwa marufuku kuwa zitatudumaza, kazi yetu ni kula kusoma na kuosha vyombo (zamu).
 
I HATE CCM. Kama huichukii CCM kwa umaskini na shida zilizokithiri Tanzania, basi utakuwa zombie, i.e. Siyo binadamu wa kawaida.
umenena vyema "I hate CCM".
ukaninenea na mimi ikiwa sifanyi unavyofanya wewe mimi sio Binadamu.
Umenena vyema zaidi.
hongera kwa ubinadamu first grade mkuu.
 
umenena vyema "I hate CCM".
ukaninenea na mimi ikiwa sifanyi unavyofanya wewe mimi sio Binadamu.
Umenena vyema zaidi.
hongera kwa ubinadamu first grade mkuu.
You are a zombie i.e. you don't see (and likely experience) the suffering and life of miseries (shida za maji, umeme, hospitali kukosa paracetamol, shule za umma kuzalisha wajinga, kutoruhusiwa kuwa na mawazo huru na tofauti na Just Praise Magufulin.k).
 
mtazamo mzuri ila hafifu juu ya matatizo ya watanzania na chanzo chake.
 
Walimu wafanyeje sasa? Miaka mitatu sasa mh hajawaongezea walimu mshahara,alichofanya ni mwaka jana akawaongezea shilingi elf 7,kwa walimu wa diploma na elf 10 kwa walimu wenye elimu ya degree alafu waandishi wa habari wote wa Tanzania wakaandika "walimu wajazwa mahela na magufuli"
Sasa shilingi elf 10 ndo ela ya kumuongezea mwalimu kwenye mshahara wake baada ya miaka mitatu? Wacha walimu wetu wawabebeshe ndoo za maandizi hao watoto,maana vyuma vimekaza
 
watanzania wenyewe.
binafsi matatizo yangu nimejisababishia mwenyewe sio chama cha siasa wala dini.
Kwa hiyo unasema serikali haina relevance siyo? Kwamba, watanzania wanajiongoza wenyewe?

Yaani huoni umuhimu wa serikali katika kuweka mazingira bora ya mwananchi mmoja mmoja kuwa na maisha mazuri?

Sasa tuna serikali ya nini? Tunapanga bajeti kila mwaka ya nini? Tunapoteza pesa kila miaka 5 kufanya chaguzi za nini?
 
serikali ni product ya watanzania.
chanzo cha matatizo ya watanzania ni watanzania. sijaona msingi wa maswali yako mkuu.
 
serikali ni product ya watanzania.
chanzo cha matatizo ya watanzania ni watanzania. sijaona msingi wa maswali yako mkuu.
Hii ni kesi ya kuku na yai, kipi kilianza. Ingawa, nakubaliana nawe juu ya watanzania kuwa sehemu ya tatizo pia. Umaskini wa watanzania wengi, ukichangia ujinga na ukosefu wa elimu ya uraia na fikrapevu, umesababisha uwepo wa serikali zisizo na mwelekeo chanya kwa raia wake
 
Walimu wafanyeje sasa? Miaka mitatu sasa mh hajawaongezea walimu mshahara,alichofanya ni mwaka jana akawaongezea shilingi elf 7,kwa walimu wa diploma na elf 10 kwa walimu wenye elimu ya degree alafu waandishi wa habari wote wa Tanzania wakaandika "walimu wajazwa mahela na magufuli"
Sasa shilingi elf 10 ndo ela ya kumuongezea mwalimu kwenye mshahara wake baada ya miaka mitatu? Wacha walimu wetu wawabebeshe ndoo za maandizi hao watoto,maana vyuma vimekaza
Kiasi cha pesa kinaendana na ngazi ya mshahara sio kiwango cha elimu lijue hilo.

Halafu sio kila mtoto anaeuza vitu hivyo huwauzia walimu wengine hutumwa na wazazi wao.

Hii ni ishara ya umasikini uliopitiliza.
 
Mimi nilikua nauza icecream na ubuyu wa walimu kuanzia darasa la kwanza mpaka la nne. Naenda kwao nachukua deli nakuja kuuza shule. Babu yangu angejuaga angewakata miguu wale walimu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halaf tulikuwa tunapenda kuuzishwa
 
Back
Top Bottom