St Joseph ni jipu

Elimu Kuu ya kwanza ni Kujitambua, "Ni afadhali anayekaa nyumbani akajifunza anachokipenda alafu akabuni kitu kupitia Hicho kuliko anayeenda chuo, alafu anakuwa anasifia chuo alichopo bila kufaidika na Lengo la kuwa Pale." Swala St. Joseph kupewa GPA ili waajirike ni tatizo ambalo Hata vyuo kama UDSM au DIT au UDOM lipo kwa namna nyingine, ambayo matokeo yake ni wanafunzi kutokuweza Kuwa Competent kwenye Ubunifu na Watu wengine waliokuwa na Wanajifunza wenyewe kwa Muda Mrefu.
 
Yaani nimeona ulichosema, Tunaishi katika Dunia ambayo Bila hata ya kwenda Chuo unaweza ukajifunza vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…