St. Joseph Collage Of Engineering

St. Joseph Collage Of Engineering

Ela ya kujikim kwan c kuna boom au..na znatumika daftar au note book na je laptop ina umuhimu wowote ktk usomaji kwa cc wa mwaka wa kwanza?
 
nimechaguliwa bach. of education with computer science ipoje hii wakuu,,, na mkopo wanapata au?
 
nimechaguliwa bach. of education with computer science ipoje hii wakuu,,, na mkopo wanapata au?
Ina mkopo bt jiandae kwenda kumeza code na computer ni ngumu maana kwa engineering wanasoma semister ya kwanza computer language na semister ya pili wanasoma computer programing licha ya kuelewa pia kuna kumeza saana.Kwenye computer programing second semister na computer language first semister unakuta kuna program si chini ya 12,Then kwenye pepa inatakiwa ujibu program mbili tu bt una kuta kuna masuali yote 15.Mnaogota karatasi kwa mchezo wa bahati na sibu masuali mawil utakayochagua ndio unaenda kuyajibu hayo.
 
Sorry mkuu hapa una maana gani?? Mechanical ni majanga au???Mi wamenichagua hiyo coz
Mkuu usiogope we njoo upige kitabu,Pepa kwa wingi,asighnment kwa wingi saana mpaka unachukia.Halafu mwaka wa kwanza engineering wote mnasoma vitu vinavyofanana so usiogope hii ni course nzuri lakini ombeni mpangiwe lecturer wazuri.Mimi mwenyewe napiga Mechanical eng but kiukwel chuo kwa hii course hakijajipanga vizuri maana hii course semister ijayo ndio watu wanaingia mwaka wa tatu.Lakini ukifka chuoni unaruhusiwa kufanya transfar kwenda course unayoitaka.Lakini mimi naipenda sana hii course sana na mapind wanapiga sana tatzo ni kuwa chuo hakina mashine za kutosha zakufanyia practical ukilinganisha na course zingine.Lakini walindai wataleta mashine nyingi sana semister hii inaanza na nyie.
 
kwa hiyo kalinzi iyo kubadili course haisumbui apo, n vp information system and networking engineering
 
Mkuu pesa ya kutumia ukiwa umesubili bum lako na sometime bum linaweza chelewa.

Mkuu Eti ni kweli kuwa kila mwanafunz mwenye mkopo ni lazima awe na akaunti ya Exim bank ili aingiziwe boom lake na sio bank nyingine?nimeambiwa hili na jamaa angu mmoja ila sijamuamini bado
 
Mkuu tzbway mambo yanayohusiasa na computer hawa jamaa wapo vizuri sana tena zaidi ya sana.Course ambayo hawajajipanga vizuri ni Mechanical kwenye upande wa practical.Halafu kwa nini unataka uhame course uliyoichagua mwenyewe?,Nenda chuo kasome kitu unachokipenda toka moyoni.But anyway kuhama course ni rahisi tu tena sana.Ukifika chuoni utaukuta utaratibu mzuri tu.
 
Ina mkopo bt jiandae kwenda kumeza code na computer ni ngumu maana kwa engineering wanasoma semister ya kwanza computer language na semister ya pili wanasoma computer programing licha ya kuelewa pia kuna kumeza saana.Kwenye computer programing second semister na computer language first semister unakuta kuna program si chini ya 12,Then kwenye pepa inatakiwa ujibu program mbili tu bt una kuta kuna masuali yote 15.Mnaogota karatasi kwa mchezo wa bahati na sibu masuali mawil utakayochagua ndio unaenda kuyajibu hayo.

nimekusoma mkuu Kalinzi ila mm c ntakuwa mwalimu wa computer au??? maana mm ni education with computer
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma mkuu Kalinzi ila mm c ntakuwa mwalimu wa computer au??? maana mm ni education with computer
Nikweli mkuu na jitahidi usome sana upige GPA nzuri pia uwe vizuri kwenye practical unaweza ukabaki hapo chuoni ukawa unafundisha wanafunzi wa diploma.Juhudi zako ndio mafanikio yako.
 
Last edited by a moderator:
Mimi kwa sasa nipo kijijini kwetu KALINZI,but ukihitaji nikupe namba ya darali au nikutafutie mtu alie huko muwasiliane nae utasema.Room zipo nyingi ni wewe tu utakayo hitaji kulingana na pesa yako.
Vp km unakaa ubungo then chuo St Joseph haitosumbua sana??
 
Mkuu Eti ni kweli kuwa kila mwanafunz mwenye mkopo ni lazima awe na akaunti ya Exim bank ili aingiziwe boom lake na sio bank nyingine?nimeambiwa hili na jamaa angu mmoja ila sijamuamini bado
Yap ni kweli lazima uwe na akaunti ya exm.
 
Back
Top Bottom