- Thread starter
- #61
Mkuu na mm ntakua hapo course kama yako.,,naomba unijuze mchakato mzima kuhusu hyo course hapo chuon mfano ugumu na wepesi wake n.k.
mi information system and networking engineering
Mkuu na mm ntakua hapo course kama yako.,,naomba unijuze mchakato mzima kuhusu hyo course hapo chuon mfano ugumu na wepesi wake n.k.
Vyumba/Hostel ni nyingi sana kulingana na pesa yako tu.Lakini ushauli wangu chukua room yako peke yako usikae na mtu binadamu ni wasumbufu sana.Kama unahitaji kusoma na kufanya mishe zako utakazo ona znafaa nje ya masomo kaa peke yako.Ni ushauli tu unaweza kuuchukua au kutouchukua.
Samahani mkuu,,hivi kunakuingia kwa shift mfano unaweza ukawa na kipindi saa3 na saa7
Au ukiingia ndo mpka mwisho yan mfano kama secondary vile
Samahani mkuu,,hivi kunakuingia kwa shift mfano unaweza ukawa na kipindi saa3 na saa7
Au ukiingia ndo mpka mwisho yan mfano kama secondary vile
Wale tuliochagulia collage of engineering na sie tukutane apa tujuzane mawili matatu. kabla ya tarehe ya registration
Kweli hicho sio chuo ni sekondary coz kuna sheria za kitoto..kwa iyo wote mnavaa mashati??
Na jeans vp wanazngua..
St.joseph wanazingatia sana discpline ya mda na masomo,wakisema ni saa 2.00 huwa ni saa mbili kamili kwahiyo kama wewe unaona tabia zako zina ulakini st.joseph utapaona kama jela.
Ada kwa engineering yeyote pamoja na michango ni 3050400 kwa mwaka.Ili uweze kusajiliwa kima cha chini unapaswa ulipe 700000.Ukilipa chini ya hiyo utapaswa uandike barua ya kuomba usajiliwe na kuahidi utaongeza lini iyo pesa ili ifikie laki saba.Chuo kina hostel chache za girls zilizopo Kibamba na kodi kwa mwezi ni sh 15000,Kwa boys itawapasa mpange kwenye hostel za watu binafsi au mtu achukue room peke yake.Hostel za watu binafsi zipo nyingi karibu na chuo pia na mbali na chuo.Na kodi hutegemeana na idadi ya watu mliopo ndani ya room.Mnapokaa chumba kimoja watu wanne itampasa kila mtu kulipia 25000 kwa mwezi,watu wawil chumba kimoja kila mtu atalipia 35000-40000 kwa mwezi.Na unapohitaji room yako binafsi utalipia 50000-60000.Kwa room ambazo ni self kodi inaanzia 70000-100000 kutegemeana na hadhi ya chumba.Jambo la kuzingatia kama unatambua ada niya kubangaiza,Hiki chuo sio rafiki kwako.Fanya transfer mapema ili baadae usije kuhangaika.aaaHata ukilipa ada ukabaki unadaiwa sh 400 muhindi hatokuruhusu kufanya mtihani wa mwisho(UE),Na itakupasa urudie mwaka.Wahindi wanasheria za kipuuzi nyingi mfano ukichelewa kuingia ndani ya kipindi zaidi ya dakika tano,itakupasa uende library na utakuja kipindi kinachofuata.Hairuhusiwi kwa boys kuvaa tishet au sandozi na ukija umevaa utazuiliwa getini na utarudi hom ukabadilishe.Kuhusu mapindi wako vizuri sana hasa kwa civil,electrical and electronics pamoja na course za computer.Atendence huitwa na kila lecturer anapoingia kupiga pindi na mwisho wa siku asilimia za mahudhurio huangaliwa kwa kila somo ndipo utakaporuhusiwa kufanya mtihani husika.Utakapopata asilimia chini ya 75 utakuwa umesap somo husika automaticaly.Kwa wale wa mechanical duu sina cha kueleza mtakuja mshuhudie wenyewe.Note:Muhindi anapenda kuheshimiwa zaidi ya maelezo.
Afu eti jaman kuna uwezekano wa kutopata mkopo kabsa yan ada yote ukalipa mwenyewe pleez nijuzeni
Sorry sec batch kwa waliopata sec round st joseph collage of engeneerng majina washayatoa tyr ??
officially bado ila wamewatumia watu meseji waliochaguliwa
Mimi kwa sasa nipo kijijini kwetu KALINZI,but ukihitaji nikupe namba ya darali au nikutafutie mtu alie huko muwasiliane nae utasema.Room zipo nyingi ni wewe tu utakayo hitaji kulingana na pesa yako.kalinzi wap ww tunataka rum
Mimi kwa sasa nipo kijijini kwetu KALINZI,but ukihitaji nikupe namba ya darali au nikutafutie mtu alie huko muwasiliane nae utasema.Room zipo nyingi ni wewe tu utakayo hitaji kulingana na pesa yako.
Mkuu inawezekana hasa kama ulisoma olevel private na A level.Mimi nilisoma Olevel private na course yangu ina priolity na walinipa laki mbili tu.Afu eti jaman kuna uwezekano wa kutopata mkopo kabsa yan ada yote ukalipa mwenyewe pleez nijuzeni
Mkuu room wanalipia kwa miezi 4 or 6 or 12.Oyi hv hzo room huwa wanalipia kwa miezi mingapi? and m nataka cha elfu 40 so kama kipo mwambie anicheki 0713589112.
Mkuu we unaenda kupiga kitabu na sio kula bata.Unaingia saa mbili kamili mpaka saa nne na dk 45 kisha kuna pumziko la dk 15.Saa tano kamili unaingia tena mpaka saa 6.45 then kuna pumziko la saa moja.Saa saba na dk 45 unaingia mpaka saa nane na dk 45.Mnasepa home hiyo ni kuanzia jumatatu mpaka ijumaa kwa mwaka wa kwanza hiyo ratiba.Wahindi wanaheshimu muda sana na baada ya hapo huwezi bakishwa darasan au wekend hakuna kurudi chuo.So jua unaenda kusoma na sio kitu kingine kuna asighnment kumi kwa kila somo mpaka semister inaisha utakuwa umefanya asighnment 80 na umepiga kati 3,modal 1 baada ya hapi ndio unapiga UE.Samahani mkuu,,hivi kunakuingia kwa shift mfano unaweza ukawa na kipindi saa3 na saa7Au ukiingia ndo mpka mwisho yan mfano kama secondary vile
Mkuu mwaka wa kwanza mnasoma general engineering,So mnanasoma wote masomo sawa engineering wote.Cha msingi we nenda tu na pesa tu ya kutosha ya kujikumu.et mwana mi naomba uniambie vitu ambavyo ni muhimu kwenda navyo uko chuon yan vinavyosaidia katka maisha ya chuo ya usoma..vifaa muhimu yan vya kuja navyo..naomba unieleze tafadhali.