St james' seminary,maua seminary na uru seminary

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Kusema kweli hizi seminari zimenivutia kwa muda mrefu sana. Binafsi nilibahatika kusoma katika mojawapo ya seminari hizo.
Kinachonivutia zaidi pamoja na mengine ni namna zilivyoweza kufanya vizuri kwenye mitihani ya taifa kwa miaka mingi sana.
Jambo lingine ni jinsi wanavyopata wanafunzi wao. Hapa seminari zote tatu hufanya interview pamoja na kisha mtihani wa kuchagua wanafunzi ambao huwa na standard moja kwa seminari zote tatu. Nadhani ndio sababu hata matokeo ya kitaifa hawapishani sana.
Wakuu mliopita huko hata kama mlifukuzwa mapema hebu shusheni data za ndani hapa.
 
Back
Top Bottom