St Francis ndio wanaotunga NECTA nini?

St Francis ndio wanaotunga NECTA nini?

To make things simple. Ukitaka akili za maana nenda shule za serikali. Kimsingi div I:15 ya Tabora boys ni bora zaidi kuliko div I:7 ya Kemebos. Kuna sanaa nyingi sana
 
Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana?

Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis
3. Wllhemia Steven - St. Francis
4. Cronel John - St Francis
5. Merry George Ngoso - St Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Brandina - St. Francis
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis
 
Back
Top Bottom