Ssebo hakujenga nyumba Dar?

Ssebo hakujenga nyumba Dar?

Watanzania sijui mtaacha lini haya maisha ya kikuda! Ndiyo maana miaka ile nilipoenda kufanya kazi kijijini na kununua Toyota Carina TI yangu, baadhi ya watu wenye mtazamo kama wa kwako wakanishangaa eti nimenunua gari, huku ninaishi nyumba ya kupanga!

Kha! Kwani kujenga nyumba ni lazima?
 
Naona bongoland kua na nyumba au kujenga nyumba ni big deal, kuna watu wanaamua tu hawataki kujenga ili mradi atapanga sehemu nzuri bila tatizo. Maana wengine wanaona shida ujenge li nyumba la milioni 200 Kibada sijui Goba, baada ya miaka kama 5 unavuta unawaacha familia na madeni ya bank si sawa. Bora hio pesa upange ila watoto waende shule za uhakika likitokea la lakutokea umewaachia watoto msingi wa elimu bora bila madeni.
 
Kibongo Bongo marehemu aliyeacha Bii Bank lakin amepanga Mikocheni na Marehemu aliyejenga nyuma Mivumoni ya milioni 60 na Bank ana afu mbili ,marehemu mwenye nyumba ndiyo ataonekana alikuwa na akili ya maisha.

Kuna watu wanatembea na nyumba mifukoni yaani dakika 0 tu anashusha MJENGO wa HATARI.
 
Back
Top Bottom