SQL Training Video

SQL Training Video

Kilogwe Thanks.

Kama unakumbuka mwanzoni...ulituma link then ikawa inahitaji registration ili kuweza play CBT file...hii SQL2005 ambayo nilidownload..ilikuwa umecover very good topic..
Hii ya saa iko based sana kwenye IT,ile ya mwanzo ilikuwa IT and database..sijui kama umejaribu kucheck kama unaweza play zile file...kwa ku crack CBT protection?Hapo tukipata crack user rights.Basi SQL 2005 inakuwa imekamilika.Na nikusoma tu.

Regards
Buswelu
 
Mkuu wewe umetumia server gani kushusha training hizi?Naona tuko kwenye dunia tofauti mie rapshare sijaiona kabisa katika mchakato wote wa kushusha files hizi...je ulienda kwenye link ya kichina?
Au kuna web nyingine umepewe umeshushia uko?

Nilikuwa na maanisha server ya hii site, wakati ninatuma (post) ilikuwa ina-output error message, ndipo nikaamua kutuma hiyo text file.
 
stay tuned mkuu,kesho utapata uhondo,i am working on it...
 
Buswelu,nimepata Video ya Nuget ambayo haiitaji password wala nini so ninauploan kwa sasa,nathani baada ya nusu saa check ya mail nitakuwa nimeshakutumia.
Pia nitatuma kwa wale wote ambao walinipa request so utacompare na kuangalia ipi ni baab kubwa.so nanyi pia baada ya nusu saa.

Kama ulikuwa haujadownload hadi leo itabidi uombe kwa wenzako kwani space yangu(5GB) imeisha so faili litakuwa hewani kwa wiki moja tu kabla sijalifuta. Samahanini kwa usumbufu wakuu.
 
Niko online nasubiri mkuu..hope i will download before tmr morning.Lile jingine nilisha download kitambo..otherwise we are talking about different file here.
Haina shida mkuu usumbufu hakuna..
 
Good i got and it the way to download.
Kutoka kaskazini..
Buswelu
 
Mkuu Buswelu na wengine,vp memufanikiwa kudownload na kufungua bila password? sisi watu wa network kuna kitu kinaitwa Acknowledge,bila hii hakuna Neighbor relationship,kama Routers zinavyosema Got t! hehehe
 
Hello Kilogwe
Thanks Champ i manage...kwa wale wote ambao hawaja download na huamini internet connection yako please imenichukua 9hrs ku download toka 20hrs jana mpaka 8hrs to day..morning saa za africa mashariki.
Na kwa eneo nililipo naamini internet sana ni about 1GB speed.Naweza sema kama kuna mtu anataka video hizi..anaweza wasiliana nami katika PM nimtumie kama yuko bongo...hii ni ku save risk ya internet kama uko kwa office wasije kukublock kwa kuchukua space wakati wa transaction za muhimu kama ni offisini.
Regards
Buswelu
 
Last edited:
Ila mkuu umenitisha kwa hiyo 1GB speed,hiyo 1GB speed ni ya kampuni nzima au inakuwaje?au ni 1GB per day au ni 1GB LAN speed?? kama ni 1GB/sec lazima kutakuwa na Distribution list au Routing map yeyote ambayo wamefanya ili kuwanyima baadhi ya watu uhondo(huwa tunatumia hii katika kuhakikisha kati ya hiyo 1GB ni wachache ambao wataweza kuipata kikamilifu? kwani kwa 1GB/sec ungeweza kuidownload hili file kwa less than 10sec,hapo nimejumlisha limita ambazo server ya hawa jamaa wanaweza kuiweka.Mimi ninatumia kama 1Mb/sec ukiongezea utundu fulani ninaweza kuupload hili file kwa less than 30min,na kudownload ni less than 10mins,kumbuka downloading speed ni kubwa kuliko uploading kwa ISP wengi.
So kama Vp check na ISP wako uangalie je hakuibii???
 
Back
Top Bottom