Done mkuu check mail yako utanikuta.Will be great.
Thanks in advance...
Humu tupo wengi. Acheni uchoyo jama tusambazie humu! lol! Kama vipi mkulu ni PM pia
Hello JF Team
Naomba kama kuna mtu ana training video za SQL server 2000 or 2005 ambazo anaweza kutuwekea hapa...
Kuna vyuo wanazo hapa tanzania lakini hawawezi ziuza au kutoa kwa wanafaunzi....hata kama amemaliza hapa kwa kuwa zina copy lights and ziko kwenye server za training supporter wao nje ya nchi.
Thanks in advance
Buswelu
Personal server au Expression Edition zinatolewa bure. Kama ni kwa shughuli za shule au kujifunza tu zinatosha sana. unaweza ku-download moja kwa moja kutoka microsoft.
Kama una connection ya uhakika sema nikutumie CD.
Niko sawa kwenye connection mzee(1GB Internet connection...we nipe link nishushe.
Thanks for your concern
Buswelu.
Kulikuwa na server error kwa hiyo nimeamua kutuma kwa kumbatanisha...(kiswahili kigumu jamani)