SPUTANZA hamkujipanga na mmechemka

SPUTANZA hamkujipanga na mmechemka

Jamani ngoja niwawekee vigezo vichache vilivyotumika:

Mchezaji bora:- vigezo ni pamoja na kuwa mchezaji bora wa ligi ambaye ni raia wa Tanzania, awe ni mwenye nidhamu lakini pia awe ameonyesha kiwango kizuri muda wote wa ligi yaani consistency; ukiangalia vigezo hivyo Kiemba ni haki yake.

Kocha bora:- Vigezo vilivyotumika ni pamoja na kuwa raia wa Tanzania na pia kwamba kocha awe ameanza na timu kuanzia kwenye usajili wa wachezaji mwanzo wa ligi hadi mwisho wa ligi.

Golikipa bora:-Kama kawaida awe raia wa Tanzania na awe ameokoa michomo mingi ya dhahiri, kufungwa magoli machache haikuwa kigezo, ikumbukwe hata mfungaji bora sometime hupatikana kwa kuangalia hayo magoli aliyafunga katika mechi gani, mfano kombe la Cecafa mfungaji bora alikuwa ni Sentogo na wakaachwa Ngasa na Bocco waliokuwa na magoli matano.

Mchezaji bora chipukizi:- kama kawa awe ni mtanzania lakini pia awe mwenye umri unaochipukia, kama kweli sure boy ana umri sawa na wengine kama kina Domayo, Msuva, Chanongo na wengine basi dogo anastahili; ni kiungo aliyekamilika ambaye amecheza mechi nyingi na kwa ubora kabisa katika ligi kuu tofauti na wanaopendekeza kwamba angepewa Domayo lakini ukweli ni kwamba Domayo hakuwa na Consistency nzuri kwenye klabu yake, mfano mzunguko wa kwanza Domayo hakucheza mechi nyingi.
 
Kama kocha ni mzawa,kwa nini asiwe Kibadeni au Hemed Morocco ambao timu zao zilikuwa juu ya Mtibwa ya Mexime? na Kipa bora kwa nini asiwe Kaseja au Barthez au hata Mwadini kuliko huyo Sharrif?Ni magumashi tu mwanzo mwisho.
 
Naamini kama Amri Kiemba asingefunga magoli mechi mbili za mwisho za Taifa Stars asinechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu msimu uliopita!Ni mwendelezo wa ubabaishaji wa watu walewale wenye akili zilezile wakija na jina zuri masikioni la 'watu wa soka'

Nakuunga mkono kuhusu Kiemba,amechaguliwa kwa kigezo cha magoli ya Stars ambayo hakuyafunga akiwa kwenye ligi...
 
Dont limit your scope in thinking comredy: timu kuwa nafasi ya 3 si kwamba haiwezi kutoa mchezaji bora: ingekua ndo hivyo basi wapenda michezo hasa soka wa England wangeandamana Garet BALE alipochaguliwa kuwa mchezaji BORA wakati timu yake ya TOTTENAMU inashikilia nafasi ya 5.

Bale alifunga magoli mengi sana nadhani ni wa 3,kwa mchezaji wa kiungo na aina ya magoli aliyofunga anastahili,siyo Kiemba............
 
Kama kocha ni mzawa,kwa nini asiwe Kibadeni au Hemed Morocco ambao timu zao zilikuwa juu ya Mtibwa ya Mexime? na Kipa bora kwa nini asiwe Kaseja au Barthez au hata Mwadini kuliko huyo Sharrif?Ni magumashi tu mwanzo mwisho.
Mkuu inaonekana hata mwenendo wa ligi hufuatilii kwa ukaribu, nimesema kocha aliyeanza na timu wakati wa usajili, hata kama Hemedi Morocco angeanza na Coastal lakini pia Coastal haiko juu ya Mtibwa Coastal ni ya sita wakati Mtibwa ni ya tano, mimi mwenyewe nilidhani kocha bora angekuwa Kibadeni lakini naye hakuhusika na usajili wa Kagera suga.

Kuhusu golikipa nimekwambia aliyefanya save nyingi, mimi sina rekodi hao magolikipa wamefanya save ngapi kwa msimu wote lakini kama wahusika wamemchagua obvious atakuwa amesave mara nyingi kuliko hao kina Kaseja, Mustafa na pamoja na Mwadini, angalia alivyosave kwenye mechi zote mbili za Yanga na Mtibwa halafu uje alivyosave kwenye mechi zote mbili za Simba na Mtibwa uangalie hao magolikipa Kaseja na Mustafa nao walisave mara ngapi nadhani unaweza kupata jibu.

Tusipende tu kulalamika lazima tujue vigezo vilivyotumika lakini eti kwa sababu mtu ambaye unadhani ni bora na hajachaguliwa basi unaanza kulaumu wahusika hawakujipanga kwa nini usijipe muda kwanza japo wa kujua vigezo gani vimetumika kabla hujalaumu.
 
Sipendi makellele ila nachokiamini kiemba na sure boy walistahili hao wengine mi cjui
 
Hizo zawadi za SPUTANZA nani kazifadhili? Kama ni michango ya wanachama, imepatikanaje? Kwa vile hakuna majibu ya moja kwa moja hatuna haja ya kuendelea kuhoji maswali mengi. Wanayo haki ya kumpa ama kumnyima yeyote kilicho chao. Hii ni sawa na mtu aliyejenga nyumba yake ikiwa self contained halafu akaamua kujisaidia haja kubwa sebuleni badala ya chooni, hakuna atakayemsumbua isipokuwa harufu ya kinyesi chake mwenyewe.
H

Hii hali ya kutokuridhishwa na uteuzi uliofanywa ndio harufu ya kinyesi walichokunya sebuleni kwao hawa wanaojiita SPUTANZA na wanatakiwa waisikie ili wasirudie tena ubabaishaji wao
 
Kwanza mi nafikiri Sputanza wanastahili pongezi kwa kuandaa hiyo tuzo.Utata kwenye mambo ya tuzo ni kitu Cha kawaida hata huko ulaya utata unatokea,huku kwetu hakuna chombo kinachotunza takwimu za wachezaji(mechi alizocheza,kadi,pasi za magoli,magoli aliyofunga/fungwa) kwa hiyo ni ngumu sana kuchagua mshindi anayestahili .Nilichogundua hizi tuzo zimewahusu wachezaji na makocha ambao ni watanzania tu kwa hiyo Kipre Cheche,Niyonzima,Twite,Sunzu na wengineo hawafuzu kuwepo.Tukianza kwa golikipa Mwadini,Barthez,Kaseja na huyo wa Mtibwa nadhani ndio walistahili kuwania tuzo kwa maoni yangu Barthez alistahili

Tukija kwa mchezaji chipukizi waliostahili ni Domayo,Sure Boy,Mcha na Kapombe hapo ni fair Sure Boy kushinda

Tukija kwenye tuzo ya mchezaji Bora Yondani, Ngasa,Kiemba walistahili kuwepo kwa msaada kwenye klabu zao na timu ya taifa kwa mtazamo wangu Kiemba alistahili,akiwa kama kiungo lakini ndio mchezaji wa kitanzania aliyefunga magoli mengi na hata timu taifa pia ni mmoja ya wachezaji aliyefunga magoli.

Nimeshangaa kwa nini hawakuwa na tuzo ya beki Bora,kwa kuwa ndio wanaanza nadhani si sahihi kuwalaumu sana natumaini mwakani hawatarudia makosa
 
H

Hii hali ya kutokuridhishwa na uteuzi uliofanywa ndio harufu ya kinyesi walichokunya sebuleni kwao hawa wanaojiita SPUTANZA na wanatakiwa waisikie ili wasirudie tena ubabaishaji wao

Ni janga kwa soka la bongo...
 
Mkuu inaonekana hata mwenendo wa ligi hufuatilii kwa ukaribu, nimesema kocha aliyeanza na timu wakati wa usajili, hata kama Hemedi Morocco angeanza na Coastal lakini pia Coastal haiko juu ya Mtibwa Coastal ni ya sita wakati Mtibwa ni ya tano, mimi mwenyewe nilidhani kocha bora angekuwa Kibadeni lakini naye hakuhusika na usajili wa Kagera suga.

Kuhusu golikipa nimekwambia aliyefanya save nyingi, mimi sina rekodi hao magolikipa wamefanya save ngapi kwa msimu wote lakini kama wahusika wamemchagua obvious atakuwa amesave mara nyingi kuliko hao kina Kaseja, Mustafa na pamoja na Mwadini, angalia alivyosave kwenye mechi zote mbili za Yanga na Mtibwa halafu uje alivyosave kwenye mechi zote mbili za Simba na Mtibwa uangalie hao magolikipa Kaseja na Mustafa nao walisave mara ngapi nadhani unaweza kupata jibu.

Tusipende tu kulalamika lazima tujue vigezo vilivyotumika lakini eti kwa sababu mtu ambaye unadhani ni bora na hajachaguliwa basi unaanza kulaumu wahusika hawakujipanga kwa nini usijipe muda kwanza japo wa kujua vigezo gani vimetumika kabla hujalaumu.

Kaka Msimbazi kumetulia kiusajli lakini????Msimu ujao huna chako...
 
Nakwambia viongozi wetu wa sasa hata siwaelewi, tia maji tia maji, bora liende ngoja tusubiri msimu wa ligi uanze inaweza kuwa ni majonzi tupu kila timu inacheza.
 
Ni janga kwa soka la bongo...

hizo ni chuki tu usifikiri watu watafikiria maoni yako binafsi,
barthez hata ktk kumi bora ya makipa haingii,labda kwa kupoteza muda uwanjani atapat nafasi ya kwanza!
 
Hah ha haah....daylight dreams......!!!
 
Nakwambia viongozi wetu wa sasa hata siwaelewi, tia maji tia maji, bora liende ngoja tusubiri msimu wa ligi uanze inaweza kuwa ni majonzi tupu kila timu inacheza.

Na kila la kheri mkuu....
 
Bale alifunga magoli mengi sana nadhani ni wa 3,kwa mchezaji wa kiungo na aina ya magoli aliyofunga anastahili,siyo Kiemba............
Kama huoni kazi aliyoifanya Kiemba kwenye Club ya Simba na ndani ya kikosi cha Timu ya Taifa...basi we utakua na chuki binafsi tu.
 
Hamna kitu hapo mjomba.....
 
Back
Top Bottom