SPUTANZA hamkujipanga na mmechemka

SPUTANZA hamkujipanga na mmechemka

PrN-kazi..Bale alipochaguliwa watu wamelalamika sawa tu na hapa Bongo..au wewe unategemea akili za wazungu kufikiri?

Acha hizo kaka..umiza kichwa ..hata wao wanakosea! Bale kitu gani..tunajadili uhalali wa Kiemba kuwa mchezaji bora wa Tanzania..
Unajua maana yake? Yaani kama unataka kuzungumzia soka la Tanzania basi mtu mmoja anayeweza kutambulisha Taifa zima ni Kiemba..je hapo imekaa sawa? Fikiri.
 
Hayo umenena kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom